Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Napenda huu muziki, naomba supporters tukutane hapa tupige story mbili tatu za uzinduzi wa singles, albums na hata links za concerts pia
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Mkali kuwahi kufanya hii kazi , nani haijui matawi ya juu,nani hajui gangster na ngoma hits kibao. Fanya unadrop mistari kwa heshima ya mshkaji. Jamaa ana punch kibao za hatari mfano "ukiniona...
7 Reactions
43 Replies
10K Views
Nataka kutaipu kwa kuchanganya rangi katika sentesi naombeni kuelekezwa tafadhar. Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
0 Replies
667 Views
Aisee mambo niaje wakuu? Kwa wale waliowahi kuona baadhi ya movies za kihindi watakubaliana nami kwamba 3 Idiots ya Aamir Khan ni moja ya movie matata kabisa. Movie ilitoka 2009. Binafsi...
26 Reactions
252 Replies
32K Views
Former world boxing champion Khanand his fiancee Faryal Makhdoom, 28, were joined by daughters Lamaisah, five, and Alanya, one, in the cute pic. Wearing matching pyjamas, each family member...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Baba lao, Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
420 Views
Natamani nijue kuhusu huyu dada.Jinsi alivyopokea suala la Nguza Vicking na mwanae Papii kocha kufungwa kifungo cha maisha. Je alijisikuaje kupokea taarifa ya kutolewa kwao gerezani kwa msamaha...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mtunzi: Washawasha Ilikuwa ni siku ya jumamosi mida ya saa kumi na mbili jioni,mimi Juma nina miaka 18 kwa sasa,nilienda kuoga ili kuweka mwili safi kwa ajili ya mtoko wa kwenda kwenye party moja...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Wafuatiliaji wa hii kitu wapo? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
807 Views
RIWAYA: KOSA MTUNZI: HASSAN O MAMBOSASA SIMU:+255713776843 +255762219759 WHATSAPP:+255713776843 SHUKRANI ZOTE ANASTAHIKI MWENYEZIMUNGU MUUMBA WA DUNIA NA VILIVYOMO KWA KUNIPATIA...
0 Reactions
11 Replies
8K Views
Waungwana clouds FM kimewatokea nini? Mbona haina nguvu kama zamani? Namaanisha frequency zao siku hizi zipo chini sana uki tune station yao inafokafoka tu. Yaani kwasasa wanaopatikana bila kuinua...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Ni jambo la kusikitisha kwa huyu binti kukatishwa uhai na mumewe kumkata na shoka kichwani siku ya tarehe 25, kwa kile kilichodaiwa muwe alichukia kuandaliwa chai siku ya sherehe ya kuadhimisha...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
August Alsina sijajua saivi yupo wapi huyu jamaa Anajua RnB si mchezo. Nliwahi kumskia kwenye Ngoma nyiki kalii mno Na Sauti yake ni yakipee. Labda azidiwe kidogo na The Weeknd yule Mkanada...
15 Reactions
173 Replies
16K Views
Mi natumia mp3juice.cc. Ina files kubwa sana. Je, unatumia website gani kudownload music? Hasa audio. Let's share.
1 Reactions
41 Replies
11K Views
Nasikia kwamba Harmonize ana mpango wa kuanzisha radio station yake ya kundi la Konde gang, je kuna ukweli wowote katika hilo?
5 Reactions
50 Replies
11K Views
Wakati ikikaribia mwisho wa mwaka 2019, hapa Tanzania Tech huwa na taratibu ya kurudi nyuma na kuangalia yote tulio yapitia kwa mwaka mzima. Kwa siku ya leo tunaenda kuangalia channel 10 bora za...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
BSS top 3. Yako weka hapa... 1. Patric Aulsen 2. Leonard 3. Patricia Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
26 Replies
3K Views
BILL GATES – EST. £121.5 MILLION, WASHINGTON PIERCE BROSNAN – EST. £15.4 MILLION, MALIBU ELTON JOHN – EST. £27.2 MILLION, BEVERLY HILLS
3 Reactions
26 Replies
4K Views
RIWAYA: Mwanafunzi Mchawi ( A Wizard Student ) MTUNZI: ENEA FAIDY SEHEMU YA KWANZA Ilikuwa ni majira ya saa moja jioni ambapo mkuu wa while ya Mabango alikuwa ofisini kwake akiwa amechanganyikiwa...
9 Reactions
458 Replies
189K Views
MKASA WA KWELI KAONDOKA NA MOYO WANGU MWANDISHI; ZUBERI MARUMA WHATSUPP 0759427653 Sehemu ya kwanza UTANGULIZI Ni mwanamke nilompenda toka ndani ya mvungu wa moyo wangu, Nikayabeba matatizo...
0 Reactions
21 Replies
7K Views
Back
Top Bottom