waktz
JF-Expert Member
- Aug 25, 2015
- 256
- 247
Naomba kuwe na knock out kwenye Football. kwa mfano leo game yetu pendwa ya simba na yanga naona yanga anenda kupigwa 3:O kipindi cha kwanza. Me nashauri TFF atakae pigwa 3:0 kipindi cha kwanza basi mpira umalizike kipindi cha kwanza.
Tusiwachoshe wachezaji wetu wa simba sport club pasipo sababu za msingi.
Naomba kuwasilisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Tusiwachoshe wachezaji wetu wa simba sport club pasipo sababu za msingi.
Naomba kuwasilisha
Sent using Jamii Forums mobile app