Katika Mpambano ambao huwa ni Mgumu ni huu wa Hawa Miamba wawili wa Muziki wa kale. Unapo sikiliza basi akili na amoyo wako vitaegemea kwa unaye msikiliza. Hizi ndio Nyombeo zao zinazo toa Droo na...
Kama vigezo hivi vigizingatiwa kuna wana mziki watakosa tuzo kabisa.
1. Ujumbe bora
2. Maadili mema
3. Mpangilio wa mashairi
4. Sauti kwenye ufunguo (key) wa mziki
5. Mpangilio wa ala za mziki na...
Kanda ya nini / CHUKI YA NINI
A/C: Papy Tex
1) Famille ebongaka boye / NDIVYO INAVYOTAKIWAKUA MAELEWANO KWENYE FAMILIA!
Famille ezalaka boye / NDIVYO INAVYO TAKIWA KWENYE FAMILIA !
Bana ya tata...
Ningepewa fursa ya kuchagua generation ipi niishi basi chaguo langu lingekuwa kuz 1880 - kuf 1960 maana huu utandawazi uchaniacha salama nimekuwa mtumwa ili kuendana na kasi ya maisha ya karne ya...
Binafsi ni Juzi tu mwezi Juni ndipo nilipofahamu kuwa Dem aliyeimba au kutia sauti katika Mtoto wa Geti kali ya Inspector Haroun alikuwa ni Queen Darleen. Hii ni baada ya Babu kueleza hivyo katika...
Huu ni uzi maalum wa mwaka 2020 mgeni wetu mtarajiwa
Tupeane update za bar,club na kumbi ambazo leo kitawaka tujuane mambo ya kiingilio pia au kama ni bure
Leo umepanga kwenda club gani au bar...
Wakuu nina GTA SA La Android Kama kuna mtu anaitaji anicheki kupitia namba 0788331185. Game ni Kali na linacheza hata kwenye simu zenye Android 4 Njoo dm Nikupe link Kama unalitaka Bei MAELEWANO...
Aisee huyu bwana ni nyota tu lakini hakuna lolote
Yale mambwembwe yoye ya kukodi treni kumbe hamna lolote upuuzi mtupu
Yani jukwaani bure kabisa hamna burudani ni kelele tupu shenzi kabisa
Wacha...
Habari za kazi wakuu? Nani ameimba wimbo wenye maneno NIPENDE NIJINASUE? Ni sauti ya mdada na wimbo nausikia sana Wasafi FM mwezi huu na mwezi uliopita.
Katika Miaka 10 Ya @diamondplatnumz Niwe Mmoja Wa Mashabiki Watakao Sema Lolote
Binafsi Nimeanza Kumjua Chibu Katika Wimbo Wake Wa Kamwambie Enzi Hizo Nasoma Primary Kiukweli Nilianza Kumuona...
Yani kuna muda binadamu unahitaji refreshments. Kama ni kweli ni mpenda burudani kama unamshabikia Diamond raha sana, jamaa ana vibe kali.
Ipo sehemu tu katika mambo yake itakunogea na kukuvutia...
Kuna vitu vingine vinafurahisha sana endapo wewe unampa sapoti Diamond.
Mfano: Akijaza uwanja roho inafurahi.
Huko Kigoma kaweka rekodi tangu Uhuru kwa kujaza nyomi; na hii ni mapokezi tu, roho...
Wakuu nipo wilaya ya Kasulu muda huu eneo moja wanapaita Kitagata, asee watu wa hili eneo/kijiji wote wanazungumza kuhusu diamond plutnumz.... haswa kwenda Kigoma mjini kumshuhudia
...najiuliza...
Labda hakuna wapiganaji wala uchoraji wa fantasasi huchea mawazo ya wasikilizaji kama Filamu bora juu ya wachawi na wachawi. Hii haishangazi, kwa sababu watu wakati wote wanapendezwa na nguvu za...
Haya ni maoni yangu tu jamani kama unabisha weka nyimbo yako hapa iliyozidi hii kwa ukali
Innoss'b ~ Diamond Platnumz
Sent using Jamii Forums mobile app