Masahabiki wa Kiba wanadili vipi na mafanikio ya Diamond?

Singida ndio home

JF-Expert Member
Feb 23, 2012
3,192
3,353
Kuna vitu vingine vinafurahisha sana endapo wewe unampa sapoti Diamond.

Mfano: Akijaza uwanja roho inafurahi.

Huko Kigoma kaweka rekodi tangu Uhuru kwa kujaza nyomi; na hii ni mapokezi tu, roho inafurahi.

Zao la WCB Harmonize anamkimbiza mjomba wake Kiba, roho inafurahi.

Huko Mbeya kufanya watu wajae uwanjani mpaka kusababisha uwanja usitumike mwezi nzima, roho imeuma kwa mbali ila imefurahi.

Sasa tatizo lipo kwa hiki kipindi cha Team Kiba kwenye kipengele cha wale wasiomtakia mema Diamond.

Hizi habari za mafanikio ya diamond wanazitatuaje? Maana ni maumivu huko.
 
Watakufa kwa kihoro..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom