Yuri boyka new movie 2019 hatareeeee!!

Yuri boyka new movie 2019 hatareeeee!!

Ibi Boyka ni jina lake halisi au la ubatizo wa Undisputed 3
 
anaitwa Scott Edward Adkins (born 17 June 1976
Huyu jamaa namkubali Sana aisee,
Ukiangalia Ninja, Ninja 2, Hard Target 2, etc anachapa mkono balaa, na mateke ndo usiseme,

Hapo hujaingia kwenye UNDISPUTED zote,
 
akiacha ubahili kwenye movie zake angefika mbali, matokeo yake undisputed imekuwa flagship.
 
Huyu jamaa wa kawaida sana hajui kuigiza Mimi nikiona muvi zake sina haja ya kujisumbua kwamba ndani itakuaje maana ni itakua mbaya.hajui kuigiza,sio msaniii anafosi Sanaa wakati sanaa haimpendi kama ana ujuzi wa kuvua aje ziwa Victoria nimpe mtaji awe mvuvi.muzi zake zote mbayaa
 
Una chuki binafs mkuu...
 
Huo ni muono wako, ila hapo kwenye uvuvi unacheksha yani wewe umgaie mtaji!! Jamaa kwa pesa yake anakupa wewe mtaji wa uvuvi anakupa na boti alafu wewe unakuwa boss unaajiri vijana wako unawalipa mishahara na chenji inayobaki unaenda kununua nyumba ya ghorofa mbili, gari utaamua mwenyewe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom