Munaposema Ali Kiba ni kipenzi cha watu munamaanisha nini?

herman joshua

JF-Expert Member
Dec 30, 2018
1,962
3,189
Naangalia chati za muziki Boomplay sijaona jina la msanii anayesadikika anapendwa zaidi Tanzania, ila sijaona hata katika Top 10.

2253680_70919145_172050144187919_8855660749281146949_n.jpg
2253677_76886180_2513116518964171_5746342547474091195_n.jpg
 
Nimewauliza wamesema kiba ni kipenzi cha watu na sio boomplay.


tuesdaydec31198:39pm.
 
Back
Top Bottom