Huyo Abdul Nasibu (Diamond Platnumz) hapana kwa kweli

MulRZGM

JF-Expert Member
Jan 26, 2017
1,012
739
Wakuu nipo wilaya ya Kasulu muda huu eneo moja wanapaita Kitagata, asee watu wa hili eneo/kijiji wote wanazungumza kuhusu diamond plutnumz.... haswa kwenda Kigoma mjini kumshuhudia

...najiuliza maswali uyu dogo ni vip huu umaarufu kias hiki?

Na uko kasulu mjini napoelekea nasikia ndyo hatar balaa jinsi anavozungumziwa, apa saiv kuna watu wanabishania kwamba 'kigoma mjini watu ni wengi na ukute matiket yashaisha'

Nimeshindwa kuaplod video ya nlichokieleza mana network kdg ni shida sababu hali ya hewa, haiko poa....

Big up sana dogo mondi....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
simba ataendelea kuwa simba tu. ila ucsahau kutugei update please
 
Nilikua sina mpango wa kwenda ila kwa vibe liloko mitaani itabidi keaho nitimbe namimi..
 
Wakuu nipo wilaya ya Kasulu muda huu eneo moja wanapaita Kitagata, asee watu wa hili eneo/kijiji wote wanazungumza kuhusu diamond plutnumz.... haswa kwenda Kigoma mjini kumshuhudia

...najiuliza maswali uyu dogo ni vip huu umaarufu kias hiki?

Na uko kasulu mjini napoelekea nasikia ndyo hatar balaa jinsi anavozungumziwa, apa saiv kuna watu wanabishania kwamba 'kigoma mjini watu ni wengi na ukute matiket yashaisha'

Nimeshindwa kuaplod video ya nlichokieleza mana network kdg ni shida sababu hali ya hewa, haiko poa....

Big up sana dogo mondi....

Sent using Jamii Forums mobile app
Diamond ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa burudani Afrika...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom