Yope Remex Nyimbo bora Africa 2019

Yope Remex Nyimbo bora Africa 2019

LICHADI

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2015
Posts
4,717
Reaction score
13,439
Haya ni maoni yangu tu jamani kama unabisha weka nyimbo yako hapa iliyozidi hii kwa ukali

Innoss'b ~ Diamond Platnumz
InnossB-Ft-Diamond-Platnumz-Yope-Remix.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuanzie Hapa
Hatuna kitu kinaitwa Remex katika Ulimwengu wa Music
-Nadhani hapo ulimaanisha Remix.

Hatuna kitu kinachotambulika kama

Innos'b ~ Diamond platnumz

Tunatambua kwa (, ) kama wameiandaa pamoja/Wameshirikiana.

Na ( Ft) Endapo mmoja kamshirikisha mwingine
Innos'B ft Diamond platnumz.

Mwisho.


Kuhusu Ngoma bora ya mwaka Wabobezi wa haya mambo watakuja.
 
Back
Top Bottom