Kanda ya nini?/ Chuki ya nini?

Kanda ya nini?/ Chuki ya nini?

papag

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2009
Posts
1,242
Reaction score
1,879
Kanda ya nini / CHUKI YA NINI
A/C: Papy Tex

1) Famille ebongaka boye / NDIVYO INAVYOTAKIWAKUA MAELEWANO KWENYE FAMILIA!
Famille ezalaka boye / NDIVYO INAVYO TAKIWA KWENYE FAMILIA !
Bana ya tata pe maman oh / WATOTO WA BABA NA MAMA MMOJA!

2) Malamu ba yokanaka / NIMUHIMU SANA PAWEPO NA MAELEWANO KATI YAO!
Malamu ba linganaka / NI JAMBO LAMAANA WAKIWA WANAPENDANA!
Wana ezali nde bolingo / HUO NDO UPENDO WA DHATI

3) Malamu ba salisanaka / VIZURI WANANDUGU WAWE KATIKA MSHIKAMANO!
Wana ezali nde lisalisi / HUO NDO MSAADA
Malamu ba sanganaka / VIZURI WANANDUGU WAWE WENYE UMOJA!
Wana ezali nde lisanga / HUO NDO MUUNGANO!

4) Ebandaki nayo yaya eh Pasteur Mukuna Ngoma / MTU WA KWANZA KALILETEA FAHARI FAMILIA YETU NI KAKA YETU « MCHUNGAJI MUKUNA NGOMA »

5) Atomboli famille oyo / NDIE KALINYANYUA FAMILIA
Apesi yango lokumu / KALIPA FAMILIA HADHI NA HESHIMA
Abosani ba leki naye te / WALA HAJAWASAHAU PIA WADOGO ZAKE!
Apesi bango ngenge / KAWATHAMANISHA VILIVYO!

6) Tumba Kateta / KAWATHAMANISHA WADOGO ZAKE AMBAO NI « TUMBA KATETA » NA » TSHIBAMBA KABENGELE »
Tshibamba Kabengele

7) Bana ya famille moko / WANANDUGU HAO WA FAMILIA MOJA!
Famille etondi lokumu / FAMILIA ILIO TUKUKA!
Bato ya mitema mabe ba zangaka te / WATU WENYE ROHO ZACHUKI HUAGA HAWAKOSI NAHULETA UCHOCHEZI KWENYE FAMILIA!
Ba kangeli biso bilongi / WANAANZA KUTUKUNJIA NYUSO ZAO!

8) Bakomi ko yokela biso nkanda / WAMETUWEKEA CHUKI!
Kanda ya nini oh / CHUKI YA NINI!
Kanda ya nini oh mama oh / CHUKI YA NINI MAMA OH
Kanda ya nini oh / CHUKI YA NINI!

9) Kanda ya nini oh ba mpangi eh eh / CHUKI YA NINI NDUGU ZANGUNI!
Kanda ya nini oh
Kanda ya nini oh
Kanda ya nini oh
INSTRUMENTAL

10) Bato ya mitema mabe ba zangaka te / WATU WENYE ROHO ZA CHUKI HUAGA HAWAKOSI NAHULETA UCHOCHEZI KWENYE FAMILIA!
Ba kangeli biso bilongi / WANAANZA KUTUKUNJIA NYUSO ZAO!
Ba komi ko yokela biso nkanda / HUTUCHUKIA BUREE!
Kanda ya nini oh / CHUKI YENYEWE YA NINI!

11) Kanda ya nini oh mama oh / CHUKI YA NINI MAMA OH
Kanda ya nini oh / CHUKI YA NINI!

12) Pasteur Mukuna Ngoma Asambelaki na Nzambe / MCHUNGAJI « MUKUNA NGOMA » NDIE KAINGIA KWENYE MAOMBI!

13) Yango famille etombwani / NIKWAMAANA HIYO FAMILIA YABARIKIWA
Bayoki biso mabe / WATU HUTUONEA WIVU

14) Tumba Kateta
Tshibamba Kabengele
Bosala mosala na bino Mama oh / ENDELEENI NA KAZI YENU
Kanda ya nini / CHUKI YA NINI

15) Kanda nyoso ya bato ya mabe Eko kweya na mayi oh / CHUKI YA HAO WABAYA WETU, ITAISHIA MAJINI!
Biso na famille na biso oyo, papa oh Toyebi kisi te / KWENYE FAMILIA YETU GINSI TULIVYO HAPA, HATUYAJUI MAMBO YA KISHIRIKINA!

16) Pe ba boti oyo ba bota biso Bayebi kisi te / WAZAZI WALIO TUZAA, NDO KWANZA HAWAJUI MAMBO YA UCHAWI!

17) Maman oyo abota biso Ayebi kisi te / MAMA YETU MZAZI, HANA CHOCHOTE CHA UCHAWI!

18) Tata oyo abota biso Ayebi kisi te eh en ba ya ya / KADHALIKA BABA YETU MZAZI NAE PIA MAMBO YA UCHAWI HAYAJUI!

19) Kanda ya nini oh mama oh Kanda ya nini / SASA CHUKI YANINI!

20) Bombanda ya nini oh mama oh Kanda ya nini oh / UPINZANI WANINI!

21) Zua yanini oh! Zua yanini oh / WIVU WANINI!

22) Nkanda yanini oh! Bombanda yanini oh! CHUKI YANINI, UPINZANI WANINI!
 
Huyu Papy Tex nilimfahamu kwa kupitia babu yangu alikuwa anazitwanga sana nyimbo zake.Ana sauti nzuri pia .Kuna wimbo wake mwingine anasema "kama hukuja kunipokea,nani atanipokea " nshausahau jina.
 
Back
Top Bottom