Mwaka mpya 2020 tupeane updates za bar, club ukumbi wapi leo kutakua na burudani?

toplemon

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
4,581
4,631
Huu ni uzi maalum wa mwaka 2020 mgeni wetu mtarajiwa

Tupeane update za bar,club na kumbi ambazo leo kitawaka tujuane mambo ya kiingilio pia au kama ni bure

Leo umepanga kwenda club gani au bar gani au ukumbi gani kukiwashaaaa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
.............Mwaka mpya unaingia badala mzitafute nyumba zenu za ibada zilipo muende mkamuombe Mungu wenu awape maarifa ya ku-survive vyema mwaka unaokuja mpo humu mnapeana taarifa za club.

Kijana unajikuta mwaka mzima kila shilingi unayopata haitulii ni pombe na wanawake tu kisha unakaa chini unalaumu unalogwa kumbe ulijiloga mwenyewe siku mwaka ulipoingia ukiwa bar huku ukibambia ma-barmaid na kulewa pombe.

Laana nyengine ni za kujitakia kabisa.

Haikuhusu hatupangiani maisha una hamsini zako nami ninazangu mjini chuo kikuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom