Justine Marack
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 567
- 1,549
Binafsi ni Juzi tu mwezi Juni ndipo nilipofahamu kuwa Dem aliyeimba au kutia sauti katika Mtoto wa Geti kali ya Inspector Haroun alikuwa ni Queen Darleen. Hii ni baada ya Babu kueleza hivyo katika kituo kimoja cha Radio. Hawa mabinti walikuwa hawapewi credit au recognition katika nyimbo za zamani kama ilivyo kwa sasa.
Niliposikiliza nyimbo za Dully nikapata sauti za warembo wengine katika nyimbo za Nyambizi na Sharifa. Humo kuna wadada wanatia maneno kukoleza stori ambayo Dully anaelezea kama ilivyokuwa kwa nyimbo zake nyingi za zamani.
Sasa Naomba kujua hao mabinti akina nani na wako wapi kwa sasa?
Pia kama kuna nyimbo ina sauti ya mtu ambaye watu hawajui ni sauti ya nani tafadhali tupia hapa tujue.