Show ya Diamond kigoma ni hovyo kabisa hakuna lolote

5997

JF-Expert Member
Jan 19, 2019
514
1,204
Aisee huyu bwana ni nyota tu lakini hakuna lolote
Yale mambwembwe yoye ya kukodi treni kumbe hamna lolote upuuzi mtupu

Yani jukwaani bure kabisa hamna burudani ni kelele tupu shenzi kabisa

Wacha nijiendee kupiga moja moto moja baridi club

Hapa hakuna burudani ni takataka tupu
 
Subiri kwanza Kiba,tulia uandike pole pole,kwani tatizo nini haswaa?ni mziki mbovu au tatizo kukodi treni?au jukwaa?na vipi kiingilio ilikuwa ile ile buku 3?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee huyu bwana ni nyota tu lakini hakuna lolote
Yale mambwembwe yoye ya kukodi treni kumbe hamna lolote upuuzi mtupu

Yani jukwaani bure kabisa hamna burudani ni kelele tupu shenzi kabisa

Wacha nijiendee kupiga moja moto moja baridi club

Hapa hakuna burudani ni takataka tupu
ujinga mtupu yaani kuimba haimbi anaongea tu na kulazimisha watu waimb,wameweka CD yaani ni upumbavu tu!
 
Aisee huyu bwana ni nyota tu lakini hakuna lolote
Yale mambwembwe yoye ya kukodi treni kumbe hamna lolote upuuzi mtupu

Yani jukwaani bure kabisa hamna burudani ni kelele tupu shenzi kabisa

Wacha nijiendee kupiga moja moto moja baridi club

Hapa hakuna burudani ni takataka tupu
Waganga si mchezo
 
Mtoto wa kiume wivu haukufai. Ukiona vp peleka show yako wewe
 
Aisee huyu bwana ni nyota tu lakini hakuna lolote
Yale mambwembwe yoye ya kukodi treni kumbe hamna lolote upuuzi mtupu

Yani jukwaani bure kabisa hamna burudani ni kelele tupu shenzi kabisa

Wacha nijiendee kupiga moja moto moja baridi club

Hapa hakuna burudani ni takataka tupu
Hawa yoyoyoy ...tuimbe wote na play back zinawabeba. Sijawahi shawishika.

Kiti live unatiririka mwenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee huyu bwana ni nyota tu lakini hakuna lolote
Yale mambwembwe yoye ya kukodi treni kumbe hamna lolote upuuzi mtupu

Yani jukwaani bure kabisa hamna burudani ni kelele tupu shenzi kabisa

Wacha nijiendee kupiga moja moto moja baridi club

Hapa hakuna burudani ni takataka tupu
Wewe utakuwa mshabiki wa CHADEMA ndomaana unatoa povu kubwa Sana mbona me siipendi CCM lakini nimefuraishwa na performance ya mondi na ameua ile mbaya.
 
Lakini ni upuuzi Sana kwa msanii kuingiza siasa kwenye kazi yake na isitoshe kundi kubwa hyo ccm watu hawaitaki hata kuisikia tutamgeuzia kibao we subir ajichanganye tu kuleta uccm jukwaani we zungumzia mziki wako kuanza kusema ohho tutampigia kura unahalalisha ufala
Mtoa mada ni mshabiki wa CHADEMA so wamekasirika kisa mondi kumsifia Magufuli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom