Aisee nimejaribu kuangalia Friday Night Live kwa mara nyingine ila nimeshindwa.
Nimezoea kumuona Sam Misago kwenye hiki kipindi na hawa watangazaji wapya nashindwa hata kuwakubali...
Siku moja nilitupa jiwe na kwa bahati mbaya likampiga bata mzinga na akafa palepale. Japokuwa nilikuwa peke yangu lkn ghafla nilimwona dada yangu nyuma yangu akinitazama. Na akaniambia nimpe elfu...
The final season of game of thrones is coming in April . This is the final and last season of game of thrones and would consist of six episodes only .As per the previous seasons the war for the...
Wasalaam;
Kipindi cha utawala wa bendi Tanzania alikuwapo kijana machachari kutokea Tanga aliyeanza usanii akiwa kama mcheza show katika kumbi mbalimbali za starehe aliyejulikana kwa jina la...
RIWAYA: UKURASA WA 56
MTUNZI: FRANK MASAI
MAWASILIANO: 0717738973
SEHEMU YA 1.
KOREA KASKAZINI
Ni usiku ambao kwa pale Korea Kaskazini ulikuwa ni wa kipekee sana. Baridi kali iliendelea kuwachapa...
Nimefanya video.... karibu
Ila kwa ufupi tu , kuna mtu alisema kuwa
Freddie Mercury alizaliwa King Stone Zanzibar na kukulia visiwani humo kabla ya Wazazi wake kuhamia India na baadaye...
Dear comrades let us compose verses and poems using the about heading YOU WILL STAY ON THE CELL.
Let me start ; here we go...
If you steal our votes you will stay on the cell.
If you take my...
Moja ya lyrics zake ni hizi, zinaimbwa kwa sauti ya kiume "maji yakimwagika hayazoleki, itabidi ukakae ufikiri, yaliyotokea ukiri..", "kuna binadamu wa ajabu.." etc
sasa sijui jina la huu wimbo...
Wazee samahanini kwa kuwaingilia ndani ya masaa ya kazi. Nilikua naomba mwenye hilo Pini la Sugua lenye sauti ya juu.
Maana copy niliyonayo mimi haina sauti af kila nikidownload nakutana na ile...
Wahindi hapa wamefanya utunzi mzuri.
Nilishawishiwa kuitazama na member wa humu.
Mdada Yna.
Kuna mwingine anayeitazama?
Mara nyingi huwa nakosa nafasi ya kuitazama, kama kuna wafuatiliaji...
KIGODORO-01
Nlikuwa nimetoka kwenye harakati zangu za kutafuta riziki na muda huo ilikuwa Ni majira ya SAA 2 usiku
nikirudi getto kwangu maeneo ya kigogo, siku hiyo ilikuwa Ni ya bahati Sana maana...
Habari zenu ndugu zangu, nimetokea kupenda song moja la msanii wa kike hapa Tanzania ila most of the time ukiwa unapigwa redioni hua naambulia maneno machache sana, ambae anaweza kuufahamu si...
"Huwezi kugawa chakula ardhi ni nyeu...ya kijani hivi.Hakuna chakula cha serikali kwani serikali haina shamba!Sileti chakula.Kuna ambao tetemeko lilibomoa nyumba zao kdg wakadanganywa serikali...
CAMERON Diaz has revealed she’s welcomed her first child with Benji Madden.
The 47-year-old actress announced on Instagram that she and her husband added daughter Raddix to the family at the...
Short and Clear, mwishoni mwa mwaka jana ziliibuka habari za penseli kati ya Diamond na Alikiba.
Ilianzia kwa Diamond kumuomba Alikiba ashiriki Wasafi festival na Alikiba akakataa akidai Diamond...
Cheka, Simulia, Lakini Usiombe Yakukute
Jamaa kaamka asubuhi kajikuta kageuka mdudu. Hii hapa simulizi yake, Die Verwandlung, imefasiriwa kwa Kiswahili. Ilichapishwa kwa Kijeremani mwaka 1915...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.