Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Naomba kuwe na knock out kwenye Football. kwa mfano leo game yetu pendwa ya simba na yanga naona yanga anenda kupigwa 3:O kipindi cha kwanza. Me nashauri TFF atakae pigwa 3:0 kipindi cha kwanza...
0 Reactions
5 Replies
873 Views
Najua humu kuna kila aina ya member Wale movies addict tusaidie kidogo. Hii movies inaitea "Bad Starters(1976)" niliiweka kwenye watch list kutoka 2013 ila sijaipata. Mwenye nayo please anisaidie...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Sehem:02 Haikua kitu rahisi kwa mama yake Gaby kukubal kua mtoto wake ndo amekua mlemavu wa kudumu.Maureen aliingia kwa daktar ili kujua nn kimetokea lakn daktar alimwambia kama alivyomjibu mama...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Sehem:03 Haikua taarfa nzur kwa gaby kusikia kua hatoweza kutembea tena alihisi labda maisha yake ndo yameishia pale.Mama yake alimpa moyo kua pale sio mwisho wa maisha na mungu yupo ana imani ipo...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Umofia kwenu. Kama kichwa kinavyojieleza. Naombeni msaada wa kuujua huu wimbo. Kwa maana nimetafuta jina lake kwa muda mrefu bila mafanikio. Nayakumbuka baadhi tu ya mashahiri. Haya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mtoto anayeonekana kwenye video ya wimbo wangu wa "usiunyanyapae moyo wangu" sio mtoto wangu ni mtoto wa prodyuza moses, shahidi yangu q-chillah. Siku nilipokuwa na fanya video ya wimbo wangu pia...
2 Reactions
14 Replies
4K Views
Ukiendekeza ndugu utavuna magugu... Utakufa kibudu na MUNGU autamuabudu utamkataa wajoto utamkana wa baridi atabakia wauvugu vugu naye pia ataleta gubu... SASA HIVI MWENDO WAKUVALIANA MIWANI TU...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Huu ni ushauri wa bure tu kwa wachezaji wa yanga watakapocheza na simba kesho. Najua kabisa yanga wataingia kwa kuwachezea sana rafu wachezajia wa simba ili wawaogopeshe. Sasa hii itawagharimu...
0 Reactions
1 Replies
849 Views
Nimeanza kuifuatilia kama mwezi mmoja hivi, baada ya wadau flani hapa kunishauri kiutani Nimecheki kuna kisa flani hivi ambacho ni "Game of Thrones" inachezwa kule ndani. Kwa ambao hawaijui Game...
5 Reactions
24 Replies
3K Views
Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Katika Mpambano ambao huwa ni Mgumu ni huu wa Hawa Miamba wawili wa Muziki wa kale. Unapo sikiliza basi akili na amoyo wako vitaegemea kwa unaye msikiliza. Hizi ndio Nyombeo zao zinazo toa Droo na...
1 Reactions
6 Replies
6K Views
Kama vigezo hivi vigizingatiwa kuna wana mziki watakosa tuzo kabisa. 1. Ujumbe bora 2. Maadili mema 3. Mpangilio wa mashairi 4. Sauti kwenye ufunguo (key) wa mziki 5. Mpangilio wa ala za mziki na...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kanda ya nini / CHUKI YA NINI A/C: Papy Tex 1) Famille ebongaka boye / NDIVYO INAVYOTAKIWAKUA MAELEWANO KWENYE FAMILIA! Famille ezalaka boye / NDIVYO INAVYO TAKIWA KWENYE FAMILIA ! Bana ya tata...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ningepewa fursa ya kuchagua generation ipi niishi basi chaguo langu lingekuwa kuz 1880 - kuf 1960 maana huu utandawazi uchaniacha salama nimekuwa mtumwa ili kuendana na kasi ya maisha ya karne ya...
11 Reactions
32 Replies
6K Views
Binafsi ni Juzi tu mwezi Juni ndipo nilipofahamu kuwa Dem aliyeimba au kutia sauti katika Mtoto wa Geti kali ya Inspector Haroun alikuwa ni Queen Darleen. Hii ni baada ya Babu kueleza hivyo katika...
2 Reactions
12 Replies
3K Views
Huu ni uzi maalum wa mwaka 2020 mgeni wetu mtarajiwa Tupeane update za bar,club na kumbi ambazo leo kitawaka tujuane mambo ya kiingilio pia au kama ni bure Leo umepanga kwenda club gani au bar...
0 Reactions
33 Replies
4K Views
https://fbwat.ch/1iudDzBgB9R9JCPD
0 Reactions
0 Replies
756 Views
Wakuu nina GTA SA La Android Kama kuna mtu anaitaji anicheki kupitia namba 0788331185. Game ni Kali na linacheza hata kwenye simu zenye Android 4 Njoo dm Nikupe link Kama unalitaka Bei MAELEWANO...
0 Reactions
4 Replies
975 Views
Aisee huyu bwana ni nyota tu lakini hakuna lolote Yale mambwembwe yoye ya kukodi treni kumbe hamna lolote upuuzi mtupu Yani jukwaani bure kabisa hamna burudani ni kelele tupu shenzi kabisa Wacha...
7 Reactions
30 Replies
5K Views
Back
Top Bottom