Chibudee
JF-Expert Member
- Dec 28, 2016
- 1,775
- 2,408
Katika Miaka 10 Ya @diamondplatnumz Niwe Mmoja Wa Mashabiki Watakao Sema Lolote
Binafsi Nimeanza Kumjua Chibu Katika Wimbo Wake Wa Kamwambie Enzi Hizo Nasoma Primary Kiukweli Nilianza Kumuona Mbaali Sana Huyu Jamaa
Ila Hapa Tupo Kuelezea Mafanikio Yake Katika Sanaa Na Mchango Wake Katika Jamii
@diamondplatnumz Wema Na Mchango Wake Unaonekana Hauitaji Kumulika Na Tochi Nikimtizama @harmonize_tz Alipo Toka Na Alipo Naiangalia Taswira Nzima Ya @diamondplatnumz Mafanikio Na Impact Alio Onesha Katika Jamii
Lkn Najivunia Zaidi Lugha Yetu adhiim Inavyo Imbwa Bila Kukosewa Katika majukwaa Yamataifa Ya Ughaibuni
Hii Nikiasi Gani Tanzania Tuna Ambassador Mzuri Mwenye Kuipeperusha Bendera Yataifa Letu
Kujipima Uwezo Wako Katika Mafanikio Nivile Pia Kutizama Unauwezo Kiasi Gani Katika Ushawishi Wa Umma
Nikimtizama @diamondplatnumz Basi Namuona @michaeljackson Muafrika Alie Tikisa Dunia Kwa Ngoma Zake Nakuteka Mioyo Ya Mashabiki Ktk Kona Zote Za Ulimwengu
Yaani Duniani
Binafsi Naweza Sema Diamond Is Best Artist for me 2019
Hongera Naseeb Abdul Katika Miaka 10 Ya Muziki wako
Sent using Jamii Forums mobile app