Naomba maoni yako kuhusu Futuhi

Naomba maoni yako kuhusu Futuhi

AbuuMaryam

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2015
Posts
2,649
Reaction score
4,756
Hivi wenzangu nauliza. Huwa mnawaelewaga hawa watu kweli?

Mbona sisi tupo karne ya 21 wao bado wapo karne ya 18?

Huwa mnacheka kweli mkiwaona hawa watu?

Hivi yule BABU MKOMBE yupo wapi?
 
Hakieleweki hata
Ni habari za mwanza tu hakuna jipya
Ukiangalia hicho kipindi ni Kama hujalipia kingamuzi so unangalia chochote tu kilichopo kwa TV .
 
Hivi wenzangu nauliza.. . Huwa mnawaelewaga hawa watu kweli?

Mbona sisi tupo karne ya 21 wao bado wapo karne ya 18?

Huwa mnacheka kweli mkiwaona hawa watu. ..?

Hivi yule BABU MKOMBE yupo wapi?
Kuna mbabu mmoja mle alifariki sasa sijui jina lake kuwa ndio huyo au laa
 
Hivi kae ka mzee kanachosimuliaga hadithi za uwongo na kweli mida flani ya mchana mnakafamu😀😀😀😀😀
Kuna vituo vina muda aiseee.
 
Unasema futuhi?, vipi na wale wanaochekeshwa na asha boko?

It's Scars
 
Ni kipindi cha hovyo, wameishiwa ubunifu kabisa. Sidhani hata mtoto mdogo anaweza kucheka!
 
unaweza kukuta mwanza nzima hukisubiri kwa hamu, mpaka kwenye vibanda umiza
 
Back
Top Bottom