Floyd Mayweather ndiye kocha mpya wa Deontay Wilder

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Sep 7, 2016
12,867
2,000
Hii imekaaje kama Wilder atafanikiwa kuwa mwanafunzi wa Floyd Mayweather?

screpa
btsportboxing_20200305_2.jpeg
 
babukijana

JF-Expert Member
Jul 21, 2009
8,192
2,000
Wilder yuko 1000 better than huyu mnunua mechi.
Anachotaka ni kumuingiza Wilder wanunue mechi badala ya kupigwa ashinde ashindwe.
A scumbag of this time boxing era.
 
screpa

JF-Expert Member
Sep 10, 2015
9,875
2,000
Ulini inspire siku ile mpaka namimi nikamuwekea imani huyu wilder lakini mambo yakaenda tofauti.

Hivi hajatangaza kufanya rudio la lile pambano?

It's Scars
Kwenye boxing lolote linaweza kutokea ingawa sikufikiria kama Fury anaweza kumpiga Wilder kwa namna ile, I was shocked. Pambano la tatu lishatangazwa, litafanyika July mwakahuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
screpa

JF-Expert Member
Sep 10, 2015
9,875
2,000
Wilder yuko 1000 better than huyu mnunua mechi.
Anachotaka ni kumuingiza Wilder wanunue mechi badala ya kupigwa ashinde ashindwe.
A scumbag of this time boxing era.
Mayweather hanunui mechi, he is very smart, anamsoma kila boxer kabla ya pambano na kujua apigane nae vipi kulingana na style yake. Ana skills za kutosha, Wilder is just a big puncher

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Sep 7, 2016
12,867
2,000
Ulini inspire siku ile mpaka namimi nikamuwekea imani huyu wilder lakini mambo yakaenda tofauti.

Hivi hajatangaza kufanya rudio la lile pambano?

It's Scars
Pambano lipo kwenye mazungumzo, maelezo ya awali yanasema kuna uwezekano likafanyika 18 June.
 
screpa

JF-Expert Member
Sep 10, 2015
9,875
2,000
Hilo ndilo tatizo la Wilder anapenda sana kuji mwambafy + mapepe mengi.
Ameshindwa hata kukubali defeat like a champion, analeta visingizio vya kitoto. Sidhani kama anaweza kukubali kufundishwa na Mayweather, kwanza huyu Mayweather hajawahi kumpenda Wilder, sahivi ndo anajidai anampenda kwavile anajua hawezi tena kufikia rekodi yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Sep 7, 2016
12,867
2,000
Ameshindwa hata kukubali defeat like a champion, analeta visingizio vya kitoto. Sidhani kama anaweza kukubali kufundishwa na Mayweather, kwanza huyu Mayweather hajawahi kumpenda Wilder, sahivi ndo anajidai anampenda kwavile anajua hawezi tena kufikia rekodi yake

Sent using Jamii Forums mobile app
Binafsi mimi ni shabiki wa Wilder ila ni shabiki kindaki ndaki wa Floyd Mayweather, sasa jamaa mwanzoni alikuwa anatamba sana kwamba ataipita rekodi ya Floyd Mayweather kiwepesi sana, so nilikuwa ninatamani sana apoteze pambano hata moja akili imkae sawa .
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom