Anayeijua hii nyimbo anitajie jina

Anayeijua hii nyimbo anitajie jina

October man

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2017
Posts
3,632
Reaction score
5,023
Kuna nyimbo mpya unavyoanza jamaa anaimba

“She call me in my phone atakuja geto...”

Mbele anakuja kuimba mwanadada

Anayeijua iyo nyimbo anitajie

Portfolio | 2020
 
Haha! Ni darasa ft showmadjoz
 
Unaishi Tanzania hii huijui sauti ya Darassa? Sawa ni nyimbo mpya huijui but ulivyosikia tu ungehisi huyo ni nani.
Nyie ndio kipindi mpo shule mlikuwa mnakesha chimbo masaa 24 mkisoma na leo hii mmeishia kuwa waalim halafu mnatusumbua kwa ushamba wenu.
 
Unaishi Tanzania hii huijui sauti ya Darassa? Ni sawa nyimbo mpya huijuia but ulivyosikia tu ungehisi huyo ni nani.

Nathamini hisia zako Boss, ila jua sikupata plenty time yakusikiliza eti nimeusikia ×1 kwambali nikiwa kwenye gari icho kipande cha geto.

Mwisho mimi sio mwalimu na sijawai kuwa mwalimu.
 
hivi we jamaa unawachukuliaje walimu? unaona kama ni watu mafalafala hivi au? kwani we hiyo elimu uliyonayo nani alikunoa? bado nashindwa kuelewa kama daktari anaweza kutibu bila kupatiwa mafunzo na walimu wake tokea akiwa kinda...,

ni ushamba na ulofa kujifanya unadharau kazi za watu ilihali nawe ni tiamaji tiamaji tu, na una/utakuwa na vitoto ambavyo una/utavihangaikia viende shule viondoe matangotango ubongoni mwao...

hakuna level ya elimu hapa duniani isiyohitaji mwalimu, kuwa chimbo 24/7 ndo kumekufanya na ww bichwa gumu ujue kusoma na kuandika... shubamit

NB;
I LIKE IT
 
Nathamini hisia zako Boss, ila jua sikupata plenty time yakusikiliza eti nimeusikia ×1 kwambali nikiwa kwenye gari icho kipande cha geto.

Mwisho mimi sio mwalimu na sijawai kuwa mwalimu.
Na hata ungekuwa mwalimu wala sio kosa. Ualimu ni kazi halali kama kazi halali nyingine , au sio Mkuu!?
 
Ni kazi ila Taifa na Serikali haieshimu iyo kazi why ujipendeke nayo unasikia kauri “kunawalimu wapimwe akiri” “mwalimu ahukumiwa kumpiga mwanafunzi”..... Shits kibao iyo na kwanini mshahara wake uwekwe mdogo ukilinganisha na Carrier nyengine.

Kazi ya kizembe.

Haya bwana umesomeka hapo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom