Harry na Meghan wako London kumalizia majukumu yao ya mwisho ya kazi za Kifalme.

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,595
215,272
1583511666770.jpeg


Meghan ameamua kuvaa gauni la blue bahari lilitengenezwa na kampuni ya mitindo ya Victoria Beckham gharama za gauni ni £950. Hii ilikua hatua yake ya kumaliza ugomvi wake na Victoria.

David na Victoria walikuwa ni baadhi ya wageni walioalikwa kwenye harusi ya Harry na Meghan. Baada ya hapo Meghan na Victoria walianza u shost, kupigiana simu na kupeana up to dates.
Meghan alishtuka baada ya kuona story zake nyingi anazopiga na Victoria zinaishia kwenye magazeti ya udaku au waandishi wa habari wanazijua zaidi. Meghan aliumia sana.

Harry humwambii kitu kuhusu Meghan, yuko tayari kumlinda kwa gharama yeyote ile. Harry alimpigia simu David na wakawa na man to man talk. Kama wanaume waliamua kuyamaliza ingawa kulikuwa na tension katika mahusiano yao. Urafiki wa Harry, William na David ni wa muda mrefu sana, tangu David anasajiliwa Manchester United.

Kwa kumsupport mume wake Meghan ameamua kuvaa gauni la Victoria pia amaeamua kumpa support Stella McCartney kwa kubeba pochi ya designer huyo katika mtoko wake.
 
Back
Top Bottom