Mtuflani Official
JF-Expert Member
- Dec 31, 2019
- 1,949
- 4,425
Yaani tokea Harmonize ameachana nao wanajaribu njia zote kumzima kwa sababu wanajua akipenya tu ndiyo utakua mwisho wao. Harmonize alitoa nyimbo ya singeli wakaona umepenya sana. Wakamchukua Lavalava nae atengeneze singeli na yule dogo.
Wakaenda mbali na kumlipa producer maarufu Marekani (Swizz Beats) ili awapigie promo waonekane wao ndiyo wakwanza kufanya kitu kama kile🤣🤣🤣. Sasa hivi naona wamemtuma Rayvanny nae afanye singeli.
Yaani hawa jamaa bhana wanatia sana huruma. Wanatumia sana pesa nyingi kulipia matangazo ya nyimbo zao mpya ilimradi tu waTrend YouTube.🤣
Kuna kipindi boss wao alipost ratiba ya show zake sijui anaenda Ulaya sijui wapi. Nimefatilia ile ratiba lakini hamna lolote. Kaishia kweda Nigeria kwenye tuzo na kupiga show kama “curtain raiser” wale complementary artists.
Ujumbe: Achaneni na yule mmakonde. Mnataka azame kumbe nyinyi ndo mnazama🤣🤣🤣