Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Jina la Kamili: Seydou Koné Jina la kisanii: Alpha Blondy Nchi: Ivory Coast Alizaliwa :1 Januari 1953 ( miaka 62 kwasasa) Dimbokoro, Ivory Coast Aina ya muziki : Raggae Kazi yake : Muimbaji...
5 Reactions
65 Replies
17K Views
wadau huu uzi maalumu kwa wapenzi wote wa nyimbo za mwambao za kuanzia mwaka 2000 kurudi nyuma hadi 1918 nimemkumbuka sana asu misambano,bi shakila,bi malika,mushrooms wazee wa embe dodo, , ...
1 Reactions
50 Replies
22K Views
Spac Dawg ndiye msanii anayefanya Kiswahili cha Arusha kiwe na maneno ambayo yanatumiwa Zaidi na watu wa kule. Maneno kama ‘Mafekeche’ ‘Fasi ya dwasi’, ‘Fyade’ ‘Yechu!Yechu!’ nk ni maneno ambayo...
3 Reactions
16 Replies
4K Views
Mimi najiuliza kuhusu hivi vipindi na umuhimu wake kwa jamii. Jamani watangazaji wanajinogesha kama wako kitandani duh!havichochei ngono kweli?Mambo yanayoongelewa ni vichocheo tosha. Nani...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Hakuna kitu kibaya sana humu duniani kama shida Haichagui mtu, siku wala mwaka Haina katu taarifa shida huingia shida bila hodi Si mtoto wala mkubwa wote shida Kila siku shida shida haiishi mpaka...
2 Reactions
0 Replies
781 Views
Wana jamvi habarini za majukumu, Kwa wale tuliotekwa na kuangalia tamthiliya pendwa ya Wounded Love inayoonyeshwa na Azam Two, sasa ipo ukingoni. Ni muigizaji na tukio lipi lilikuvutia katika...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Wale wapenzi wa twanga pepeta,akudo impact na fm academia nyimbo zao kuanzia 2002 mpaka 2012 tukumbushane enzi Mimi nakumbuka Mtu na pesa zake-twanga pepeta Password- password ya maisha yangu...
1 Reactions
15 Replies
5K Views
Hawa netflix nahisi wanaweza kuharibu ratiba za valentines day Mzigo upo eztv(dot)io
0 Reactions
3 Replies
1K Views
SWAHILI UNIVERSE INAKULETEA FILAMU ZA BONGO KILASIKU SAPOTI FILAMU ZETU KWA KUSUBSCRIBE LINK HII: Swahili Universe - Latest Bongo Movies USIPITWE Hii ni channel yako namba 1 kukuletea visa na...
0 Reactions
17 Replies
6K Views
Habari viongozi, Jana nimetoka kumsikia mtoto aliyezaliwa kwenye miaka ya 2004 (15) akiimba wimbo wa Kilimanjaro Band uitwao Boko. Sasa najiuliza hawa vijana, wanawezaje kuimba nyimbo ambazo...
1 Reactions
30 Replies
8K Views
Hivi wasanii au mtu anapoweka video yake Youtube analipwa Shilingi ngapi za Kitanzania? Kinachoongeza kipato ni namba ya views, downloads au na urefu wa wimbo pia? Kwa mfano video ya dakika 4...
2 Reactions
25 Replies
7K Views
wadau naomba tutoe maoni yetu kuhusu nani mkali zaidi ya mwenzake kati ya magwiji hawa wawili wa reggae, alfa blondy na lucky dube. baadhi ya nyimbo za alfa blondy 1. jerusalem 2. masada 3...
1 Reactions
78 Replies
26K Views
Kwa wale wa nyimbo za country tukutane hapa, liwe jukwaa la kushirikishana mambo mbali mbali yahusuyo Music huu ikiwa ni pamoja na kushare nyimbo zenyewe wale wenye hisia za aina hii...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Wengi wanauchukulia mziki wa hiphop kama mziki wa wahuni ila ni moja kati ya miziki yenye facts nyingi compared to other kinds of music. Wasanii wengi wa hiphop wana IQ kubwa. Kusikiliza hiphop ni...
4 Reactions
111 Replies
21K Views
Wakuu heshima yenu, Nowdays kumekuwa na tabia kubwa sana ya wasanii wa kileo wa Bongoflavour nyimbo zao nyingi wanazotoa ni sex song na sio love songs,nyimbo nyingi zinazungumzia jinsi ya kufanya...
2 Reactions
8 Replies
3K Views
Wapendwa habarini za jioni/usiku. Naombeni msaad wa namna ya kuipata muvi ya san andreas ya tetemeko la ardhi iliyokuwa inamhusisha dada aliyeanguka kwenye bonde la san fernando california then...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari ya muda huu ndugu, jamaa na marafiki. Naomba msaada kama kuna mtu ana wimbo tajwa hapo juu wa Drake. Nmejaribu kuutafuta YouTube lakini nimekutana na cover tupu. Shukurani Sent using...
0 Reactions
0 Replies
958 Views
Unaikumbuka movie maarufu ya Kihindi inayohusisha kijana masikini mwenye akili sana aliyetekwa na familia maarufu ya kitajiri kusoma kwa niaba ya kijana wao? Ndio, ile movie maarufu sana ya...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kucompare watu maarufu si kitu kibaya, mara nyingi ni kuangalia mazuri na kuyaendeleza na yale mapungufu kuyarekebisha. Kwenye suala la hadithi(riwaya) za magazetini, mimi nilijitahidi sana...
3 Reactions
140 Replies
54K Views
Back
Top Bottom