Habarini za wakati huu,
Nmekuwa nikicheza Pes for Pc kwa muda mrefu sana lakini je ni kwanini player akiwa HOME anakuwa na nguvu, speed na accuracy sana?
Kuna jamaa nikicheza nae ikiwa yeye...
Mariooo ni miongoni mwa vipaji vipya vyenye potential ya kutosha ndani ya Bongoland, kijana huyo mwenye kipaji cha hali ya juuu aendelee kupasuaa mawimbi ya soko la Bongofleva baaada ya hapo jana...
SIMULIZI; TAMAA ILINIPELEKA KISIWA CHA MAJINI
SEHEMU YA KWANZA
Jina langu naitwa Jackson Abell ni mzaliwa wa
tanga shughuli zangu ni biashara kawaida huwa na
chukua mzigo Zanzibar kwa bei nafuu na...
SCOLASTICA TEMU
MTUNZI: INNOCENT NDASANYE
NAMBA: 0755 040 520
“KWA nini iwe hivi?” msichana huyu mrembo, Scolastica Temu alijikuta akijiuliza swali hilo mara nyingi huku akiwa chumbani peke yake...
Wapenzi wa Hiphop tulitegemea baada ya diss track ya P Mawenge na Unju angekuja na diss track ya kumjibu ila imekuwa tofauti, naona Unju kaachia track yenye maudhui mengine. Sina hakika kama hii...
Huyu jamaa alikuwa ni bonge sio sana sema ana mwili wa kibabe fulani.Alitamba sana miaka ya 2000s
Nakumbuka alishawahi kuwa ngoma inazungumzia kuwa anawapenda mademu wasiopenda chapaa na kitu...
poleni na pilika pilika za hapa na pale,Kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba kwa kwenye nyimbo hizo za KINYAMWEZI kutoka kwa muimbaji MWINAMILA kutoka tabora,
nawasilisha Msaada it afadhali.
Habari wanajambo, mimi ni mpenzi kiasi wa kuangalia movie lakini kutokana na majukumu ya hapa na pale sikuwa na muda wa kuangalia.
Kipindi hiki ni cha kukaa nyumbani kutokana na hali halisi ya...
Kama wewe ni mpenzi wa filamu basi lazima utakuwa umewahi kuangalia filamu zilizotengenezwa na kuwapa wahusika wakuu nafasi ya kucheza kama watu wenye uwezo wa juu wa kufikiri
Leo tuwaangalie...
Wakuu kwemaaa...leo naweletea top 5 ya mawe mazito yenye miendelezo yakibabee
Kuna vyuma hatari sana vilivyopikwa vikapikika na miendelezo yote huwa inasubiriwa kwa hamu sana japo story huwa...
BARAKOA YA MARIOO
Na, Robert Heriel
Hivi ndivyo ilivyokuwa, kama ilivyosemwa na watu wa kale yakuwa shida haina adabu. Ndivyo ilivyotokea kwangu.
Haya sasa tulieni niwasimulie, tena mtege...
1️⃣ "Shape Of You" - Ed Sheeran (2,468 BILLION Streams)
2️⃣ "Rockstar" - Post Malone ft 21 Savage (1,874 BILLION Streams)
3️⃣ "One Dance" - Drake ft Wizkid & Kyla (1,837 BILLION Streams)
4️⃣...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.