Binafsi toka Tz ipate Uhuru nyimbo nyingi sana nzuri nimezikubali ila kuna nyimbo nasema hakuna itakayotokea nikaipenda kama hiyo (toa suala la kuchuja), nazungumzia nyimbo pale imetoka ipo kwenye...
Kama hujaziona IP Man zote nne fanya kuzitafuta, Humu Don Yean anaonesha umuhimu wa hekima, busara na kupinga uonevu! Jamaa ni very simple guy with nice family, lakini upiganaji wake unaangusha...
MIKE MARTIN 1958-1996 (1)
ILIKUWA ni alfajiri yenye mawingu mazito angani. Kila mtu alijua mvua ingenyesha siku hiyo kwani dalili zote za mvua zilikuwepo angani. Waliokuwa wamelala walizidi...
Kenya tumejinoa vikali kwenye muziki, wasanii kadhaa wa kadhaa wamejionyesha kuwa hao ndo mastaa wa Afrika Mashariki na ndo hawa:
1: Sautisol
2: Khaligraph Jones
3: Boondocks Gang
4: Otile Brown...
Wasafi, Media House iliyokosa ubunifu yakinifu!
Na Mwl Sylvester, George Wambura
Twitter @PGGeorgeJr Instagram @pg_georgejr
+255716109169
georgesylvester35@yahoo.com
Ukiiongelea Wafasi Media...
K’naan (KEINAN ABDI WARSAME) ni msanii kutoka CANADA na pia ni mzaliwa wa SOMALIA mjini Mogadishu. Watu wengi wanamtambua kwa nyimbo yake maarufu ya waving flag ambayo aliitunga kwaajili ya...
Mwandishi: Erick Shigongo
MIKE MARTIN 1958-1996
ILIKUWA ni alfajiri yenye mawingu mazito angani. Kila mtu alijua mvua ingenyesha siku hiyo kwani dalili zote za mvua zilikuwepo angani. Waliokuwa...
Ni lipi jina la nyimbo?
Raha
Nani anazungumziwa?
Mwanamme
Tabia gani amebebeshwa mwanamme (katika wimbo huu)?
Mwanamme amebebeshwa sifa mbili nzuri na mbaya kwanza amezungumziwa kama ni...
Completely, wanna give my love, completely
I'd rather be alone than be in love just half the way
I want to find someone that I can trust, completely
Wanna give my heart, completely
To someone...
Kwa wale wanazi au wapenzi wa Drama kutoka pande za Korea Kusini nadhani mtakuwa mnafahamu kuhusu Joseon. Taifa lililokuwepo miaka ya 1300 - 1800 k.m.
Nimeandaa Drama kali 10 ambazo zinaelezea...
Mambo vipi wakuu? Mara baada ya kupitia lile group letu la series kiukweli nimeona nihitimishe kwenye huu uzi wangu.
Series nilizoangalia mpaka sasa na kuzipa nyota 5, ambazo pia nakushaur...
Siku hizi imekuwa kero kuzisikiliza baadhi ya nyimbo nyingi za muziki wa kizazi kipya hapa Tanzania kwani nyimbo hizi zimejaa mashairi yaliyobeba maudhui yenye matusi. Mbaya zaidi nyimbo hizi...
Habari za sasa wakuu..
Hivi nyimbo za hip hop ni lazima ziwe na punchlines Mimi kwa mtazamo wangu naona ni lazima kuwepo na hizo Punch lines. Ili zinoge na kuleta flavour halisi ya kihiphop...
Usipokua na hela, kupendwa usahau
Mapenzi yatakukera, utaambulia dharau
Kisa huna mshahara, mapenzi yanakuwa jau
Ukiwa mzuri wa sura, hapo kidogo angalau
Sie wenye sura kama chura, tuile tu pilau
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.