Wakuu Kwema,
Miaka Fulani nyuma kwenye 199X kituo cha Luninga cha ITV kilikua kikionyesha hii movie ya Mortal Kombat lakini kwa mtindo wa episodes. Yaani kila wiki wanatupia moja nadhani wahenga...
By Sangu Joseph
.
Ninawaza kuwaambia watu nimeiona video ya Bedroom ya Harmonize_tz na hasa nikikumbuka Mzee wangu Jakaya Kikwete alipoteza muda wake kushuhudia uzinduzi wa hii Audio, nadhani kama...
Nimeisikiliza hii nyimbo ya Harmonize na watu kibaoo matusi matupu yamejaa ni aibu hata kusikiliza na mtoto au mtu mnaeheshimiana.
Kwanini wasanii siku hizi wanaimba matusi namna hii...
Leo naomba nijaribu kuwaletea nyimbo 20 bora kabisaa za za mtoto wa mwanamuziki nguli wa zamani mzee mwinjuma aka mc mbondei
Ambazo hazitakuja kukaa kuchuja zingne ni za zamani ila kwa ubora wake...
Habari waungwana.
Kwa wale mnaoikumbuka Diamond Sound, ambapo makao yao makuu yalikuwa Mwenge Pale Silent Inn Club.
Tafadhali kwa Mwenye Nyimbo zao naomba tupia humu,
Nyimbo zao ninazokumbuka ni...
Kipindi kidogo ndani ya kipindi cha PLANET BONGO cha EAST AFRICA RADIO NA TV kinachoongozwa na mtangazaji Abdallah Khamis Wambuwa,
Ambacho kinatambulika kama DAKIKA 10 ZA MAANGAMIZI
Ambapo Rapa...
Unaweza kuangalia concert hii yenye lengo la kukusanya michango kwa ajili ya chakula na mahitaji ya kiafya kwa ajili ya familia zilizoathirika na COVID-19 barani Afrika
Hawa watu wajanja sana, wameachia wimbo wao mpya ambao nina uhakika utatrend sana kwenye mitandao hasa huu mpya Tiktok unaoongoza kwa kuwa downloaded hivi sasa.
Wasanii wengine chukue somo hapo...
Habari za weekend wanajamvi.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,unafkiri ni nani unazani ni best hip hop man kwa hapa Tanzania? Na kwanini??
Binafsi my best ever rapper of Tz ni FID Q.sina...
Harmonize ndio msanii namba moja bongo kwa sasa, ni msanii ambaye ametoa hit kali kuwahi kutokea toka bongo fleva imeumbwa. Yaani kwangaru views milioni 52, bado view laki 3 iipite nana.
Hii...
MZEE WA ACHECHE, CHUKUA NAMBA MOJA
Na, Robert Heriel
Kila mtu duniani hupenda kazi yake ifurahiwe na watu wengine. Hakuna asiyetaka kazi yake isipendwe. Ndoto ya watu wengi duniani ni kuona kazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.