screpa
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 9,722
- 2,000
Wapenzi wa Hiphop tulitegemea baada ya diss track ya P Mawenge na Unju angekuja na diss track ya kumjibu ila imekuwa tofauti, naona Unju kaachia track yenye maudhui mengine. Sina hakika kama hii ngoma ni mpya, ila kwakuwa nimeiona dakika chache zilizopita kupitia U-Tube naamini ni ngoma mpya, kifupi anazungumzia the way mashabiki huwa wanamzungumzia/ mtazamo wa mashabiki kumuhusu yeye, kiukweli kapita mulemule ambapo mimi huwa namfikiria. Huyu mwana anajua sana kuchana, kwenye top 20 yangu ya G.O.A.Ts wa Hiphop bongo hawezi kukosa, ila anatabia za kikuda sana


Sent using Jamii Forums mobile app



Sent using Jamii Forums mobile app