Habari wadau,
Napenda kuwapongeza Clouds TV - State of Arts - Kwisa kwa kuanzisha kipindi chenye mikasa ya kutisha ambayo ni ya kweli iliyowatokea watu.
Episode ya kwanza ilikuwa jamaa(bodaboda)...
Musiq Soulchild - Say I Do
.
Taylor Swift - Superstar
.
Michael Bolton - I Promise
.
Maroon5 ft Gwen Stephen - My Heart is Open
.
One Direction - Ready to Run
.
One Direction - Story of My Life...
Leo katika pekua pekua kwenye kumbukumbu zangu, nikakutana na karatasi, nilikua nimeandika majina ya wanamuziki ambao nikua na kanda zao, (Tap) Nikaona ni share na member wenzangu hapa, nadhani...
Katika series nilizoangalia na kuinjoy hii inaingia katika list ikiongozwa na baba la series PRISON BREAK.
Kwenye character wa hii series niliyemkubali ni mtu mzima DENVER hasa lile cheko lake...
Mimi nitaangalia movie categories zote ila category ya Science Fiction (Sci-Fi) inanipa tabu sana kuangalia movie zake. Nilianza kuangalia movie za Sci-Fi za Spider-Man, miaka hiyo Spider-Man ni...
FUMBO (01)
PUA za Leila ziliipokea harufu ya manukato iliyopozwa na kiyoyozi, mara baada ya kufungua mlango na kuingia ofisini. Chini, sakafu ilifichwa na zulia la sufi. Juu, taa zenye rangi...
SEHEMU YA 1
Sitausahau mwaka 1978. Nina sababu tatu za kutousahau mwaka huo. Sababu ya kwanza ni kuwa kulitokea vita vya Kagera. Majeshi ya Iddi Amin aliyekuwa Rais wa Uganda yalivamia nchi yetu...
Hili swala huwa linanisumbua sana, hivi bongo movie walikosea wapi mpaka hawa wakorea wameteka soko.
Kuanzia Nyumbani, kwenye usafiri, vibanda umiza kote ni Korean drama. Popote kwenye Tv na deki...
Wizkid ft Chris Brown__African Bad Gyal.
Wizkid ft Drake_Come Closer.
Wizkid ft Ty Dolla Sign__One For Me.
Wizkid Ft Ty Dolla Sign__Dirt Wine
Wizkid ft Major Lazer__Naughty Ride
Wizkid ft...
" Sasa hivi kumbi na baa zimefungwa hatupigi muziki kwa sababu ya Corona, nimewasaidia kuwalipa mshahara wanamuziki wangu kwa mwezi mmoja na mimi nimeishiwa nina wasanii zaidi ya 40, wengine...
Katika kibao chake kiitwacho Baba Lao, nyota wa muziki anayepeperusha vyema bendera ya Tanzania Diamond Platnumz ameimba maneno haya katika moja ya verses kwenye wimbo huo
"Eeeh! Tumewachapa...
Nimewawekea video hapa chin, toa maoni yako, inapendeza wagonjwa wana afya nzuri kabisa.. [emoji116][emoji116][emoji116]
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona weekend speacial nyingi zimekua ni muziki wa kizazi kipya, naomba watoto wadogo mtupe nafasi watu wazima nasi tujidai kidogo weekend hii tupate miziki ya batu bazima, na kanyimbo haka...
Miss World Pageant contestant Richa Maria Adhia of Tanzania poses for photos at Yalong Bay in Sanya, Thursday, Nov. 29, 2007
Miss World Pageant contestants from left, Nigeria's Munachi...
Wakuu heshima sana!
Tafadhali naomba msaada wa jinsi ya kufanya malipo kwenye netflix. Awali sikuwa na shida na nilitumia VISA card kujisajili kwa ajili ya malipo. Baada ya VISA card ku-expire...
Hizi ni GiftCard Ambazo unatumia kulipia netflix yako!!
Hauna haja ya kuweka credit or Debit card wala Paypal account!!!
Ukienda kwenye sehemu ya payments
Utaona kuna sehemu wameandika Redeem...
Napenda tujuane wale wote tunaofuatilia mziki wa TRAPMETAL.
Au kwa wale wasio ujua, lakini wamechoka mainstream music wanaweza fanyia utafiti hii, tunawakalibisha sana kwenye hii dark community...
Habari wapenda filamu wenzangu. Ni siku nyingine tena tumepewa nafasi ya kukutana hapa na kujadiliana mambo kadhaa kadhaa kuhusu utazamaji wa filamu, starehe ambayo kwa sasa ukizingatia na hali ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.