Huwenda wako sahihi nimewahi kuona dancer mmoja ni Mngoni ana madudu sana kazini kwake.Nje ya mada..!!
Kwanini hili neno huwa naliskia sana mpaka kwenye bongo fleva, 'mauno ya kingoni', wanamaanisha mabinti wa kingoni ndiyo hivyo sana ama?
Wakwetu yna2 na wewe maoni yako hapa tafadhali.!
Yasemwayo yapoNje ya mada..!!
Kwanini hili neno huwa naliskia sana mpaka kwenye bongo fleva, 'mauno ya kingoni', wanamaanisha mabinti wa kingoni ndiyo hivyo sana ama?
Wakwetu yna2 na wewe maoni yako hapa tafadhali.!
Hahaha...wa design hyo wanapenda Sana sultaniMie nachagua mume uliyemuelezea kifungu cha tatu lakini asiwe anaangalia Sultani
Hahahah..umetishaBasi itabidi nimvumilie kwasababu ya hayo mauno ya kingoni
dancing floor na kitanda havishabiianiHuwenda wako sahihi nimewahi kuona dancer mmoja ni Mngoni ana madudu sana kazini kwake.