Naomba kufahamu movie bora ambazo ukizitama huwezi jutia muda na pesa yako

davetz28

JF-Expert Member
Dec 17, 2017
543
617
Habari wanajambo, mimi ni mpenzi kiasi wa kuangalia movie lakini kutokana na majukumu ya hapa na pale sikuwa na muda wa kuangalia.

Kipindi hiki ni cha kukaa nyumbani kutokana na hali halisi ya dunia. Natamani walau kutumia muda huo kukaa na familia kuangalia movie ili walau kupunguza muda wa watoto kuzirura na kujiburudisha pia.

Naomba mnaojua movie mzuri za kuangalia na familia. Napenda sana movie za vichekesho kwa kuwa mimi mwenyewe ni mcheshi pia.

Neshaangalia baadhi kama Mr Bone na Zulu Yankee.

Nategemea ushirikiano wenu na tuombeane katika janga hili na tuwe makini ili jamii isije poteza wanafamilia yake.

I love you

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angalia movie inaitwa contagion ya 2011 nadhani, uone jinsi huu ugonjwa kama wa corona ulivyo igizwa kabla hata haujatambulika

Kwenye comedy tafuta collection za Mr bean na Tom and Jerry
 
Nipo naangalia
Colombiana hapa... nimetoka kuangalia
Area 13 nikimaliza naangalia
Hitman Agent 47, zote hizi nazirudia.. ni movies nzuri
 
Bad Boys for Life, IP man4, Catch Me If you Can, Triple Threat, Coming to America, 12 years a Slave, Escape from Sorbibo, Not without my Daughter, Godfather, The Day of The Jackal,Home alone, Babys Day Out, Madmax The Fury Road, Yankee Zulu,Jackie Chan's Mr Nice Guy,Mr Bean The Holiday..
 
Misukosuko ukiikosa hiyo kuna saradini ukiikosa na hii kuna shumileta ukiikosa na hii angalia hata nsyuka ukikosa zote hizo my friend washa tv angalia hata zile chenga chenga tu.
 
Bad Boys for Life, IP man4, Catch Me If you Can, Triple Threat, Coming to America, 12 years a Slave, Escape from Sorbibo, Not without my Daughter, Godfather, The Day of The Jackal,Home alone, Babys Day Out, Madmax The Fury Road, Yankee Zulu,Jackie Chan's Mr Nice Guy,Mr Bean The Holiday..
ASANTE mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wanajambo, mimi ni mpenzi kiasi wa kuangalia movie lakini kutokana na majukumu ya hapa na pale sikuwa na muda wa kuangalia.

Kipindi hiki ni cha kukaa nyumbani kutokana na hali halisi ya dunia. Natamani walau kutumia muda huo kukaa na familia kuangalia movie ili walau kupunguza muda wa watoto kuzirura na kujiburudisha pia.

Naomba mnaojua movie mzuri za kuangalia na familia. Napenda sana movie za vichekesho kwa kuwa mimi mwenyewe ni mcheshi pia.

Neshaangalia baadhi kama Mr Bone na Zulu Yankee.

Nategemea ushirikiano wenu na tuombeane katika janga hili na tuwe makini ili jamii isije poteza wanafamilia yake.

I love you

Sent using Jamii Forums mobile app
BEST MOVIES:-

How to train your dragon 1,2&3
Angry birds 1&2
Sherk 1,2,3&4
Leap
Trolls
9
Bee movie
Big Hero 6
Bolt
Free Birds
Frozen 1&2
Gnomes 1,2&3
Home
Ferdinand
Finding Dory
Finding Memo
Fly me to the moon
Horton Hears a who
Ice Age 1,2,3&4
Khumba
Lion King 1,2&3
Kung Fu Panda 1,2&3
Madagascar 1,2,3,4&5

Aisee ni NYINGIIII
Maliza kwanza hii list then nitafute NIKUPE LIST NYENGINE.

#YNWA

ASANTE sana mkuu kwa muda wako. Bila shaka nitakuwa na muda wa kupitia hizi movie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom