Ili iwe rahisi unatakiwa ujue hata jila la actors wa2 au 1 au hata leading actor ni nani
Ingia Google search by image utaipata faster tu. Ukitumia pc inakuwa rahisi zaidi.
Ingia Google search by image utaipata faster tu. Ukitumia pc inakuwa rahisi zaidi.
Wenzetu akili kubwa wako mbele ya muda walishaga lijua hili mapema. Kuwa kuna mtu anaweza kuwa na picha anahitaji kuifahamu kiundani zaidi.
Ingia hapo hapo Google search kisha andika "search by image" itakuletea sehemu ya ku upload.
Ingia hapo hapo Google search kisha andika "search by image" itakuletea sehemu ya ku upload.
InaitwajeAsante sana aseeh nimeipata ....
Nimechelewa kulala nimejifunza kitu toka kwako bless up.
Sent using Jamii Forums mobile app
🤝🤝Asante sana aseeh nimeipata ....
Nimechelewa kulala nimejifunza kitu toka kwako bless up.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1666][emoji1666]
Niliisearch pia kumbe ni series.
Huyo jamaa wa kushoto mbona kama Barry Evance yule wa Mind your Language
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo si Doctor in house hiyo? Comedy fulani hivi iko poa si mchezo.
Nazingua jibu nimelisoma hapa hapa.
😂😂😂Hiyo si Doctor in house hiyo? Comedy fulani hivi iko poa si mchezo.
Nazingua jibu nimelisoma hapa hapa.
Vipi kwenye simu haiwezekani mkuu maana naona najaribu hapa sipati hiyo optionIngia Google search by image utaipata faster tu. Ukitumia pc inakuwa rahisi zaidi.