Naomba msaada kwa hili - Pro evolution soccer (pes)

Braibrizy

JF-Expert Member
Apr 6, 2014
351
500
Habarini za wakati huu,

Nmekuwa nikicheza Pes for Pc kwa muda mrefu sana lakini je ni kwanini player akiwa HOME anakuwa na nguvu, speed na accuracy sana?

Kuna jamaa nikicheza nae ikiwa yeye akiwa HOME ananifunga sana bila ya mimi kupata hata goli moja na ikiwa na mimi niko HOME namfunga mogoli mengi sana. Je, kuna shida katika settings au ndio kawaida.

NB: Natumia kwenye PC sio PS
PES 2017 yenye patch ya 2020
 
Forgotten

JF-Expert Member
Jul 20, 2018
733
1,000
Shida inaanzia hapo kwenye patch. Kuna jamaa nilikuaga nacheza naye FIFA 14 yenye patch ya 2019 jamaa ilikua kila mechi anashinda ila akienda kwenye FIFA 19 anakuwa kibonde.

Patch mara nyingi huwa kuna sehemu zina udhaifu na huo udhaifu ndio wengi huwa wanatumia kufunga wenzao.
 
Mkuu kwenye condition pale vile vi mishale inabidi vikae vp..!?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom