Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Katika Comedian movie zangu kwa mwaka huu ni Coming 2 America imejaa vituko mno yaani nikitazama nafurahi mda wote inaondoa stress kwa kweli ukiachana na mitungi. Nilipenda Wesley Snipes...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Niaje niaje. Kongole Kwa Mr Diamond Platnumz kwakuwa kwenye nomination ya tuzo kubwa za BET AWARDS. Sio Jambo dogo maana Kwa Afrika wako wasanii wengi sana ambao wanafanya muziki. Karibu...
4 Reactions
37 Replies
4K Views
Habari, Naomba kuuliza swali hili, Isidingo imeonyeshwa miaka mingi sana ITV nani alikuwa anamlipa mwenzake, maana miaka na miaka nakuwa nacheck tu. Pia naona imekuja pia tamthilia nyingine...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Natumai wanajamvi hili wazima. Naomba mwenye kujua majina ya movies zinazolezea masuala ya matukio ya dini za Kiislam na Kikristo..mfano maisha ya Nabii Ibrahim, safari ya Wana wa Israel kutoka...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
kwa wale wapenzi na wafwatiaji wa movie ,hasa zinazohusisha mashindano ya magari kama mimi,huwezi kuwa umekosa kufwatia movies zenye mwendelezo za "fast and furious" zilizosheheni wababe kama the...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Leo nimekumbuka hii ngoma ilivuma Sana enzi zile wakati bado blackberry na apple ni matunda hayajawa simu. Title ya wimbo ilitokana namsemu wa aliyekuwa raisi wa JMT awamu ya 3 Bwana Ben Mkapa...
5 Reactions
7 Replies
5K Views
Nimeipenda hii movie. Humu jamaa anaonekana kama mtu wa kawaida tu, familia na marafiki wanamchukulia poa. Kumbe alikuwa ni mbad na kaamua kutulia. Russian mafia walipoingilia familia yake...
11 Reactions
74 Replies
8K Views
Leo ni miaka miwili tangu kutokea kwa kifo cha mmoja wa Wanamuziki bora zaidi kuwahi kutokea katika Bongo Fleva, Albert Mangwea. Mengi yamezungumzwa kuhusu kifo chake, na hakika ameacha pengo...
1 Reactions
14 Replies
6K Views
Hii imekaa vyema!
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ikiwa ina kama 2 weeks since iwe released with 1+M views na no.37 on treding, ngoma hii ya lavalava so far ni moja ya ngoma zinazohit kwa sasa without a doubt. Kiukweli lavalava hua simuelewi sana...
1 Reactions
6 Replies
7K Views
Nampenda,Kumuheshimu na kumfurahia kazi zake kila siku mzee Cosmas Chidumule,mimi kwangu sauti yake ni sauti ya dhahabu,zaidi ya TID,Q chief, Linex na wengine wengi...... Kuna nyimbo zake nyingi...
3 Reactions
15 Replies
12K Views
Je, umepata nafasi ya kuskiliza? "cheketua ya Barnaba akimshirikisha Alikiba...?km bado hujachelewa ...ila naeza sema ni moja kati ya kati za bora za mziki kwa mwaka huu...melodies beats na kila...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Sept. 2017 Cosmas Thobias Chidumule alipotokea mpaka alipofikia na historia ya maana za nyimbo zake kama ''Barua toka kwa Mama'' n.k na safari zake sehemu mbalimbali za ulimwenguni na anabainisha...
4 Reactions
7 Replies
11K Views
Nmejaribu kuangalia ngoma moja ya Rayvany na mtu mzima Jux iliyotengenezwa na Hanscana. Baada ya hapo nika compare na video za Director Kenny... Kwangu nmeona keny ni mkali wa video Eb dondosha...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Mwandishi: Hans Christian Andersen, 1837 Kimetafsiriwa na Pictuss. Email: pictuspublishers@gmail.com. Pictuss2021. Haki zote zimehifadhiwa. Hakuna sehemu yoyote ya tafsiri hii inayoweza...
4 Reactions
7 Replies
4K Views
Leo hii BET wametoa majina ya wasanii ambao wanaenda kuwania tuzo katika vipengele mbalimbali moja ya wasanii hao ni Diamond Platnumz ambae anaenda kupepelusha bendela ya Tanzania [emoji1241] na...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
FILM: KITISHO MTUNZI: Richard MWAMBE 1 Mbowe club saa 1:23 usiku RADI kali ilipasua anga na kufanya mchoro wa kutisha, mwanga wake ulilipoteza giza kwa sekunde kadhaa, kila kilichojificha...
3 Reactions
37 Replies
13K Views
JINA: MAAMUZI MAGUMU MTUNZI: CHIAMARO MOKIRI HAKI ZOTE ZIMEHIFADHIWA. NI MARUFUKU KUNAKILI AU KUSAMBAZA KAZI HII BILA RUHUSA YA MAANDISHI KUTOKA KWA MWANDISHI. HATUA ZA KISHERIA ZITACHUKULIWA...
8 Reactions
11 Replies
4K Views
Huu wimbo dah utata mtupu, lakini huyo demu kauwa sana humu
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Back
Top Bottom