Movie:roman reign in fast and furious 9

mwakajingatky

JF-Expert Member
May 30, 2018
555
909
kwa wale wapenzi na wafwatiaji wa movie ,hasa zinazohusisha mashindano ya magari kama mimi,huwezi kuwa umekosa kufwatia movies zenye mwendelezo za "fast and furious" zilizosheheni wababe kama the rock ,ambaye ni mwanamieleka (sio mstaafu,maana kunatetesi za kurudi ulingoni)

ilikua ni siku ya ijumaa mchana nikiwa napeluzipeluzi mtandao wa instagram,nikakutana na habari hii iliyonifurahisha na kunifanya niishubilie kwa hamu filamu hii ya "fast and furious 9"...

the rock kupitia ukurasa wake wa instagramu (official) alitangaza kua kutakua na mwonekano wa roman reign (joe) ambaye ni binamu wake the rock na mwanamieleka mahili aliejiengua kwa muda kutoka ulingoni (wwe) kutokana na maradhi ya kansa.ambapo kwenye movie hio inayotarajia kutoka APRIL 20 2020 roman atachukua character ya kama "kaka" wa The rock

Kupitia pia ukurasa official wa roman reign wa instagram,ameweka picha wakiwa location kwa ajili ya movie io ya fast and furious 9,(ndiyo post ya kwanza ya Roman Reign tangu aanze kutumia mtandao wa kijamii wa instagram).Na kueleza zaidi kua ushiliki wake kwenye FF kumemwezesha zaidi kuimalika kiafya na kumsaidia kulejea ulingoni mapema iwezekanavyo

can't wait 😋😋😋
 
Mbona ni kuhusu show za HOBBS&SHAW na inaruka August 2 mwaka huu? Au mimi ndo sikuelewa na tayar baadhi ya clip zimeshaanza kuwa released na havihusiani na Fast and furious?

Au mimi ndo sijui kinge?
 
Back
Top Bottom