Lava Lava: Go Gaga....

Lava Lava: Go Gaga....

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,257
Reaction score
22,138
Ikiwa ina kama 2 weeks since iwe released with 1+M views na no.37 on treding, ngoma hii ya lavalava so far ni moja ya ngoma zinazohit kwa sasa without a doubt. Kiukweli lavalava hua simuelewi sana maana aina ya uimbaji wake ni kama kaswida flani hivi lakini kwenye hili dude, kiukweli amejitahidi kwa kiasi chake.

Lakini hata hivyo, huyu producer abbah naona beats zake zinafanana Sana, jaribu kulinganisha na beat ya ngoma ya we dada ya tid na mavoko utagundua kitu.

 
Sawa ila lava mwana wa lava ka improve Sana kwenye hii ngoma
 
Ngoma kali, beat kali. Video mataa ya nyuma makali.
Mbosso atasubiri sanaaaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom