JINA: MAAMUZI MAGUMU
MTUNZI: CHIAMARO MOKIRI
HAKI ZOTE ZIMEHIFADHIWA. NI MARUFUKU KUNAKILI AU KUSAMBAZA KAZI HII BILA RUHUSA YA MAANDISHI KUTOKA KWA MWANDISHI. HATUA ZA KISHERIA ZITACHUKULIWA...
Wakuu huu uzi ni pendekezo la wadau na wapenz wa bongo fleva. Hapa tutataja wimbo/nyimbo ya/za bongo fleva za zaman unayoikubali/unazozikubali na kuiapload aka kuiweka ili kila mdau atayevutiwa...
JMT
Wakuu nimetokea kuzipenda movie za magenious( i mean sterling ndo genious mwenyewe.) ni nzuri saana
Baadhi ya movie/series nilizoziangalia ni
1.SCORPION
2. YOUNG SHIELDON
nimetokea kuzikubali...
Habarini Wana Jamvi
Inatakiwa ifike sehemu watanzania na Wana JamiiForums celebrity waipe heshima kubwa sana WCB kwa kuendelea kutoa ALBUMS Kali na zenye viwango vya juu sana.
WCB ikiwa kama...
Hii series nlianza ingalia Netflix season one. Bahati nzuri nlikuwa nmeisha idownload. Nikarudi kuendelea na nyingine nikakuta wameisha iondoa. Nikalazimika ku download kupitia torrents.
Ni nzuri...
Kuna msanii anaibukia anaitwa Quanta Sage anaimba rap and he actually is giving this type of music the right thing.
Jamaa kwa nilivyomfuatilia anatokea Mwanza na ameshatoa collabo kadhaa na ngoma...
Intro: Nviiri the Storyteller
(Ohh, mmh)
Ohh
What a waste
Oh, Lord
The Storyteller, ayy
Verse 1: Nviiri the Storyteller
What a waste
Baby tumejiseti, we on the highway
Tukafunga breki, tukaanza...
SEHEMU YA 01
SAA nane usiku jini Nargis aliamka na kukaa kitako akiliangalia tumbo lake lililokuwa kubwa na kubakiza siku chache za kujifungua, alilipapasa taratibu kwa kuzungusha mkono pembeni...
Kwa karne hii ya 20/21 wimbo huu wa Lucky Dube umefunika.
Mwanangu P akikua na kuniambia anataka kuwa Rastafarian nitamsapoti, hii dini imejaa watu wasio na unafiki.
These people are very clever.
Hii series ndio nimetoka kuimalizia ilitengenezwa 2018 na ni moja kati ya series bora sana.
Imetengenezwa na JTBC huku ikipata wastani wa ratings 12.5% huku episode ya 20 ikiwa na ratings ya...
Habar wadau !!! Jana usiku nilipata wasaha kuchek hii movie old guard aisee km ni swala la movie nasema sema wazungu wametuacha mbali sn kuanzia story ilivyotungwa camera actions na hata maongez...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.