Cosmas Thobias Chidumule

Cosmas Thobias Chidumule

Bagamoyo

Platinum Member
Joined
Jan 14, 2010
Posts
31,599
Reaction score
36,220
Sept. 2017

Cosmas Thobias Chidumule alipotokea mpaka alipofikia na historia ya maana za nyimbo zake kama ''Barua toka kwa Mama'' n.k na safari zake sehemu mbalimbali za ulimwenguni na anabainisha kuna kitu alikuwa ''hana''

 
Shukrani sana bagamoyo kwa thread na video murua. Huyu jamaa yupo juu sana ktk historia ya muziki wa Tanzania. Ni vile tu hatuna utaratibu mzuri wa kutunza kumbukumbu. Nakumbuka sana wimbo wake wa 'Neema', nadhani ndo wimbo wake mkali kuliko zote.

Anapatikana wapi huyu mtu? Hilo ni kanisa? Lipo wapi? Kuna funzo kubwa sana ktk maisha ya Chidumule hasa pale anapojifananisha na roundabout aka keepleft, hela inaingia halafu inatoka kwenda kwa Ashura au mganga.
 
Strong message from one of the music legends Cosmas Chidumule. Kwa wanamuziki wengine kuna kitu kikubwa sana cha kujifunza toka kwake! Akili na uwezo wa kufanya maamuzi sahihi na kwa wakati sahihi!
 
Back
Top Bottom