Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Hebu kila mtu aangalie picha hii hapa chini kisha atoe maoni yake bila hila wala inda. Huu ni uchekeshaji ama udhalilishaji?? UPDATES: Kupitia comments zenu nimegundua kuwa watu wanachanganya...
6 Reactions
93 Replies
9K Views
Dear family and close friends, I hope this letter finds all of you well. I know some of you must be wondering where the pictures are that I so often attach to my emails. Unfortunately, this is...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habar watanzania polen na majukum Leo nimeona niwawekee sababu 10 za kwanini sito mpigia kura Diamond kwenye Tuzo za Bet 1) kwanza Diamond mimi sio mashabiki wake na wala sijawahi kumpenda 2)...
11 Reactions
63 Replies
6K Views
Without Rumorse Kikosi cha wanajeshi kikiongozwa Liutenat commander wa kike wakiwa kwenye mission Huko Alleppo - Syria wakishirikiana na kwaajili kwa kumuokoa agent wa CIA anayedaiwa...
6 Reactions
50 Replies
4K Views
Hii inaitwa street fighter legacy humo ndan kuna ryu na ken na kaka msaliti jambazi akuma nimeitafuta sana internet nimeikosa Mwenyewe anaijua namna yakuipata tafadhari aniachie linki niipakue...
0 Reactions
4 Replies
784 Views
My Take: Uyu jamaa "MEJJA" ana kipaji kikubwa sana cha kuimba mziki wa kuchekesha. Uyu jamaa Ni stress free, Uyu jamaa idea za Nyimbo zake sijui huwa anazitolea wapi, yaani Ni full vituko...
12 Reactions
63 Replies
6K Views
Wadau, kwa wale mliosikia huu wimbo, maneno hayo kweli yanafaa kutumiwa kwa wimbo unaopigiwa katika vituo kama vya radio, kwenye daladala na sehemu nyingine za public? Binafsi maneno hayo naona...
4 Reactions
33 Replies
4K Views
Mbona hizo mnazopiga kila kituo hata vyetu huku mikoani ndo zinapigwa? Huyo DJ sijui clash designer hafai kuwa hapo.Tunataka zile country tulizozizoea
1 Reactions
6 Replies
877 Views
Uzi maalum wa kupata simulizi kutoka Simulizi Huru Media Production. Karibuni
0 Reactions
9 Replies
6K Views
Salaam wakuu Kuna msanii mmoja hivi alitamba na wimbo wa naumia roho jina anaitwa Dullayo hivi jamaa yupo wapi skuizi? Ameacha mziki?
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Hii nchi inaongoza kwa unafiki, hii ngoma imetoka mmekaa kimya, hamsemi wala hamsikilizi Kuna watu wanasikiliza mziki kwa majina ya wasani. Dayna Ft Davido ELO ni ngoma kali sana na hii ni...
6 Reactions
25 Replies
3K Views
Jana Jioni Baada ya Kuchoshwa na Kazi za Kaisari, niliingia You tube kutafuta nyimbo nilizokuwa nikizisikiliza. Nikabahatika kumkumbuka Msanii mmoja toka Iringa akifahamika kama Mike T aka...
1 Reactions
0 Replies
966 Views
Leo 2/6/2021 msanii kutoka Label Ya Konde World Wide Music ameachia kibao chake kinachoitwa ROHO... Unaweza kusikiliza kibao kupitia mitandao mbalimbali... Kwa Maoni Yangu Dogo Its Great Song
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Kama umeangalia angalia hizi movie nisaidie nijue ipi nzuri niitafute, naweza Google lakini ntakuwa sina uhakika kama itakuwa nzuri, nahitaji za dizaini ya troy, alexander, braveheart, 300...
0 Reactions
679 Replies
183K Views
Aisee! Huu wimbo Nibebe wa Kusah x Barnaba una mwaka sasa ila mimi ndio kwanza nimeusikia leo. Kuna wasanii wanajua kuimba ila hawana nyota. Mashairi mazuri, ujumbe mzuri wa mapenzi, sauti tamu...
0 Reactions
2 Replies
606 Views
Wakuu habarini za leo. Poleni na majukumu na sakata la BET. Wimbo ya kijana wa KONDEGANG ibra mnaichukuliaje Naiona ni nyimbo moja hatari sana na ubunifu wa kutisha je nyie mnaichukuliaje?
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Wale wapenzi wa Money heist season 5 imerejea. Mtandao na watayarishaji wa series hii wametangaza official date ya kutoka kwake. Part 1 itatoka SEPTEMBA 3 Part 2 itatoka DESEMBA 3. Tukae mkao wa...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Kama ww ni yule mpenzi wa Korean drama za family na comedy basi hii isikupite. Drama hii imetok mwaka 2017 na ina ep 52. Drama:FATHER IS STRANGE Tv channel:KBS Set:Korea Year:2017 Episodes: 52...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Ni Rostam ft Ferooz , jamaa huwa nawaelewa sana wasikilize hapa msije sema nimetia chumvi.
2 Reactions
74 Replies
15K Views
Back
Top Bottom