Je, Director Kenny na Hanscana nani mkali katika industry ya video?

Labani og

JF-Expert Member
Sep 15, 2020
15,770
24,200
Nmejaribu kuangalia ngoma moja ya Rayvany na mtu mzima Jux iliyotengenezwa na Hanscana. Baada ya hapo nika compare na video za Director Kenny...

Kwangu nmeona keny ni mkali wa video

Eb dondosha kura yako kati ya hawa miamba wawili Tz na Africa
 
Kwani ye keny mwenyewe anasemaje
 
Nmejaribu kuangalia ngoma moja ya Rayvany na mtu mzima Jux iliyotengenezwa na Hanscana. Baada ya hapo nika compare na video za Director Kenny...

Kwangu nmeona keny ni mkali wa video

Eb dondosha kura yako kati ya hawa miamba wawili Tz na Africa
Hanscana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom