Coming 2 America Inaondoa stress zangu zote

Richmoto Kushmoto

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2021
Posts
549
Reaction score
561
Katika Comedian movie zangu kwa mwaka huu ni Coming 2 America imejaa vituko mno yaani nikitazama nafurahi mda wote inaondoa stress kwa kweli ukiachana na mitungi.

Nilipenda Wesley Snipes alivyocheza character ya general izziiiiiiiii na vile anavyoongea kwa pozi na hizo stunt zake yeye na hao askari wake aloo ni shida ni character amabaye nimkubali sana humu na yule mtoto wa king Akeem wanamwita the bastard.

Davido naye alinikosesha na ngoma zake alafu biti la halelujah sikulisikia humu au ni mimi tu

Tuambie mdau character yupi kakufurahisha humu.
 
Nipo na netflix yangu kila mda natamani kuirudia haahha
Hatari na nusu tena ile scene wanamuintroduce princes bopoto kwa kwa mtoto wa king akeem na yule alavyokamata maiki sijui sauti ya nani ile et whooo whoo 🤣🤣🤣🤣
 
Katika Comedian movie zangu kwa mwaka huu ni Coming 2 America imejaa vituko mno yaani nikitazama nafurahi mda wote inaondoa stress kwa kweli ukiachana na mitungi.

Nilipenda Wesley Snipes alivyocheza character ya general izziiiiiiiii na vile anavyoongea kwa pozi na hizo stunt zake yeye na hao askari wake aloo ni shida ni character amabaye nimkubali sana humu na yule mtoto wa king Akeem wanamwita the bastard.

Davido naye alinikosesha na ngoma zake alafu biti la halelujah sikulisikia humu au ni mimi tu

Tuambie mdau character yupi kakufurahisha humu.
Nasikia Wema kapata dili huko?
 
Wakuu, Nataka Kuingia Netflix Kwenye Simu Yangu, Ila Nashindwa
 
Nimetoka kuangalia army of the dead.Sio kali saaana ila Zack Snyder ashatuteka maana movies zake 2hrs na kuendelea.
 
Katika Comedian movie zangu kwa mwaka huu ni Coming 2 America imejaa vituko mno yaani nikitazama nafurahi mda wote inaondoa stress kwa kweli ukiachana na mitungi.

Nilipenda Wesley Snipes alivyocheza character ya general izziiiiiiiii na vile anavyoongea kwa pozi na hizo stunt zake yeye na hao askari wake aloo ni shida ni character amabaye nimkubali sana humu na yule mtoto wa king Akeem wanamwita the bastard.

Davido naye alinikosesha na ngoma zake alafu biti la halelujah sikulisikia humu au ni mimi tu

Tuambie mdau character yupi kakufurahisha humu.
Nilicheka pale mama yake na bastard alipofika kwenye palace, sasa kuna sehemu alikuwa anaoga kwenye swiming pool afu chini kuna mfanyakaz wa kiume ananyonya mafuta!! Jamaa aliishiwa pumz akaibuka maza akamwambia zama tena uendelee kunyonya k**
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣😃
 
Back
Top Bottom