Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Salamu! Kama Kichwa Cha Habari Kinavyouliza, Je Ni Movie Au Filamu Gani Ulishawahi Kuitazama Ambayo Star Wake Alikufa Ikiwa Ni Sehemu Ya Story Ya Filamu Hiyo?
1 Reactions
151 Replies
20K Views
Kwa ukweli mimi kama mdau wa movies nikiri kuwa kuna waigizaji au waongoza movies ni magenious, ni talented haswa na hii hufanya nifuatilie sana kazi zao kwa sababu wanajua nn wanafanya. Kati ya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wana jamvi,leo jioni itakua siku nyingine chungu kwa mashabiki wa Simba SC,Kaizer anaenda kutoa kipigo kingine kama sio kinachofanana na kilichopita (4G) basi chini kidogo ya kipigo...
0 Reactions
5 Replies
983 Views
Hapa Tanzania/Bongo kuna watu wanakuwa maarufu kwa kipindi fulani(trend) kutokana na harakati zao za maisha kama vile muziki,fulani,sasa, vichekesho na kadhalika. Mitano michache ni marehemu Dr...
1 Reactions
1 Replies
926 Views
Habarini JF. Kwa kitendo hivhi kinachoondelea kiukweli hakuna pale msanii yaani WIMBO mbovu saana Tena saana. Tatizo anamuiga sana ZUCHU na manajiment Yake kiujumla bado inawawaza sana WCB...
2 Reactions
56 Replies
6K Views
Hivi ukichanganya Bongo Movie zote zilizowahi kutoka nchini kuna ambayo inaikaribia Filamu ya SARAFINA?
5 Reactions
80 Replies
14K Views
Leo Nandy ana jambo lake, atakuwa Clouds FM akisindikizwa na baadhi ya wasanii. Jukwaa limetengenezwa eneo la kuegesha magari, pamependeza sana. Jambo lenyewe linatarajiwa kuanza mishale ya saa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Baada ya Dar, yaua Dom, Moro matanga na Vumilia Kondo, Morogoro KUNDI la muziki wa kizazi kipya la Wanaume Halisi, limefanikiwa kuwafunika tena wapinzani wao, Wanaume Family katika...
0 Reactions
1 Replies
7K Views
Habarini Wana JF, Kusema ukweli Diamond platinumz Ni genius wa Muziki wa kizazi kipya na kwa Maandalizi haya anaenda kuishangaza dunia kwa ALBUM ya Karne tangu Tanzania ipate Uhuru. Kuna baadhi...
6 Reactions
89 Replies
49K Views
Habari wapendwa. Naomba kwa mwenye huo wimbo anisaidie nimeutafuta kwenye sites mbalimbali lakini nimeukosa. Natunguliza shukrani.[emoji120]
3 Reactions
17 Replies
13K Views
Tuachane na comics, ni kitabu gani ulisoma ukacheka sana. Mi nilisoma kitabu kinaitwa Haifai. Hiki kinazungumzia jinsi ya kujiendesha kwa adabu katika mazingira mbalimbali. Muandishi anaitwa Abdu...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Nisijifanye namfahamu sana Bae Suzy. Of course nimeangalia movie yake moja inaitwa ASHFALL amefanya na Lee Byung Hun { bonge la chemistry} Kwenye upande wa series nilimuona kwenye GU FAMILY BOOK...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Bila kupoteza muda naomba niwataje mastaa watano kutokea korea ambao hawana account rasmi kwenye mitandao ya kijamii. Ukiingia instagram kwa mfano unakuta mashabiki wameanzisha Fan pages tu na...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Tukianza na mm km mimi wimbo wangu pendwa kutoka kwa mfalme huyu wa bongo fleva ni "MBIO". Kwanini mbio?ni wimbo ambao uandishi wake naupa 100%...melodies99.9%...beat..99.8%...mm co mtaalam sana...
3 Reactions
65 Replies
7K Views
Juzi juzi hapa nilikuwa naangalia series ya MOUSE starring LEE SEUNGGI moja ya vitu vilivyonishangaza kwenye series ile ni jambazi kuu Doctor Han Seo Joon kukamatwa na kuwekwa ndani kwenye episode...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Katika Hali isiyotarajiwa na wengi, C.E.O wa Next Level Music Rayvanny aka vannyboy mtu mbaya amezid kumvuruta mmiliki wa label ya Konde gang Harmonize Mzee wa picha za utupu Rekodi mbali mbali...
3 Reactions
33 Replies
5K Views
Kevin alikua akifanya mapenzi na Aisha wakitumia kondomu. Waliendelea tendo kwa muda wa dakika tano. Ghafla Aisha akamwambia kevin avue mpira ili waendelee kufanya mapenzi bila mpira wa kondomu...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Moja ya sababu pia watu wanapenda Kdrama ni zile sound track zinazoimbwa vizur na wasanii wakali.Haiwez kua drama kali kama haina sound track kali. Kama ulivyo ushindani wa rates za drama pia...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kwanza binadam Tukumbuke kua Mungu Hapend unafk goli walilo Kataa marefa wa Tff na kusababisha Tutoke sare kwenye mchezo wetu ndio ilo ilo Goli lililo Fungwa na kaizer cheaf na kuwafanya simba...
1 Reactions
2 Replies
659 Views
Name: Park Seo-Joon Hangul: 박서준 Born: December 16, 1988 Birthplace: South Korea Height: 185cm Blood Type: Instagram: @bn_sj2013 Movies Concrete Utopia Dream The Divine Fury Parasite Be with...
2 Reactions
0 Replies
602 Views
Back
Top Bottom