kibaWaKitaa
Member
- Apr 26, 2021
- 26
- 56
Je, umepata nafasi ya kuskiliza? "cheketua ya Barnaba akimshirikisha Alikiba...?km bado hujachelewa ...ila naeza sema ni moja kati ya kati za bora za mziki kwa mwaka huu...melodies beats na kila kitu kipo mahali pake.

