Miaka Miwili ya Kifo cha Albert Mangwea

Camilo Cienfuegos

JF-Expert Member
Apr 23, 2015
18,783
66,962
Leo ni miaka miwili tangu kutokea kwa kifo cha mmoja wa Wanamuziki bora zaidi kuwahi kutokea katika Bongo Fleva, Albert Mangwea.

Mengi yamezungumzwa kuhusu kifo chake, na hakika ameacha pengo kubwa katika muziki huu .

Pumzika kwa amani, Albert Mangwea.

1432799040513.jpg
 
R.I.P Mzee wa mikasi.Hivi Cowboy aliacha icon ya mtoto au ndio kama 2pac?
 
Ngwair Ngwair ni the best .

Dogo mmoja naona anakitu kama hiki sema hatoki tu na kama huyu dogo asipotoka basi kumpta mtu kama Ngwair tena ndo itakuwa miaka 100
 
Back
Top Bottom