Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Aliiimba Hamza Kalala sikumbuki kama alikuwa na Bantu Group au peke yake. Anasema eeeh eehe eehh kasimbagho, kabhuka. Mka mkamwana mkalole kasimbagho. Mwenye huu wimbo please aubandike hapa...
2 Reactions
1 Replies
544 Views
Mkurugenzi Mtendaji wa Recording Academy, Harvey Mason Jr. amesema kuwa Grammys walikuwa wanafikiria kuongeza kitengo cha tuzo kwa upnade wa Afrobeats. Akizungumza na waandishi wa habari nchini...
0 Reactions
1 Replies
705 Views
Kiufupi Joti amesema nyimbo zilizotesa sana B.Fleva Tanzania ni Kwangaru, Hakunaga, Starehe, Sinderela etc, bila mpangilio maalumu. Ila kiukweli kabisa wimbo uliotamba Tanzania namba moja kabisa...
22 Reactions
85 Replies
6K Views
Hii season kali sana, actions mwanzo mwisho.
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Sehemu ya 1. Jakson Maiga.Koplo, kutoka kituo kikuu cha Polisi Arusha, alionekana na mawazo mengi kichwani kuhusu hatma ya maisha yake ya baadae, akiwa...
2 Reactions
8 Replies
4K Views
Ukizingumzia moja ya action kali kwa mwaka huu, basi hii ni moja wapo. Humo kuna wakali kama Brad pitt, Andrew Koji na mkongwe Hiroyuki Sanada [emoji91]. Kitu lipo chini ya Sony Picture...
4 Reactions
8 Replies
890 Views
Wakuu humu ndani hamna wapenzi wa BBN? Naona season hii kuna washiriki wazuri kweli na wameweka level mbili naona shindano la mwaka huu litanoga sana. Mpaka sasa housemates wanao make headlines...
5 Reactions
103 Replies
5K Views
Kuna wimbo mmoja naupenda'ga' sana, sina uhakika kama unaujua, ngoja nikupe idea. [emoji362] Jason Derulo aliwahi imba wimbo unaitwa "Fight for you", wimbo huu ulikua na Kiitikio kilichoimbwa...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Naimani ni wazima wa afya, kuna hili game linaitwa Dream League soccer. Ni game la online nani zuri sana ambapo mnaweza cheza kwa kupeana code, pia mnaweza tengeneza league ambayo mnaweza cheza...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Tupac Amaru Shakur, better known by his stage name 2Pac and later by his alias Makaveli, was an American rapper and actor. Considered one of the most influential rappers of all time, Shakur is...
1 Reactions
57 Replies
4K Views
Watu wanajua Lusaka hela kinoma! Nimeisubiria kitambo sana hii muvi hatimae James Cameron kashafanya yake muvi iko tayari. Wameanza kuishoot toka Nov 27 2017 zote 2&3 kwa pamoja. Avatar 2 itatoka...
3 Reactions
11 Replies
4K Views
Katika ujumbe wa video, alisema "alijawa na shukrani kwa ajili ya safari" lakini kwamba kulikuwa na "sehemu nyingine ya maisha yangu ambayo ninataka kuendelea kuifatilia". Mchekeshaji huyo mwenye...
1 Reactions
2 Replies
703 Views
Wadau naomba mnisaidie game kali za kucheza offline maana nimeboeka kinoma hapa.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari zenu wana jamvi,nimekuja kwenu kwa wale wapenzi wa series za kikorea na zile za English nahitaji movie ONLY SERIES nina external ya ukubwa wa 1TB = 931GB nahitaji ijazwe Series,najua tabu...
4 Reactions
97 Replies
15K Views
Wadau kutokana na ugumu wa maisha tunahitaji Sana sehemu ya kupunguza msongo wa mawazo(stress)kupitia majukwaa mbalimbali, lakini hapa JamiiForums moja ya jukwaa nalolitegemea kupata taarifa...
2 Reactions
3 Replies
792 Views
Kwa wale wapenzi wa Movie, kuna huu mzigo wa Netflix, The Gray Man..., Yes, kuna possibilty watu wengi wamekwisha itazama.., Sadly imepata reviews mbovu sana from Rotten Tomatoes na Critics...
0 Reactions
0 Replies
620 Views
Waungwana nimeuona huu mjadala huko kwa kina Chioma, nimeufuatilia kwa karibu lakini bado sijajua ni yupi yupo juu ya mwenzake. Kati ya Ronaldo na Beyonce ni nani maarufu na mwenye ushawishi...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
HADITHI YA NJIA YA KUKAMATA MWIZI ZAMANI za kale alikuwako mtu mmoja aliyekuwa na rasilmali yake, rupia elfu akazitia ndani ya mfuko akazifungia ndani ya sanduku lake. Hapana mtu aliyejua habari...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Salam wakuu, Straight to the point. Nimekaa sehemu flani hapa wanapaita Bambalaga, Dj amegonga magoma ya amapiano hapa watu wote wamewehuka kwa vishindo vya magoma. S.A kiukweli wameweza...
6 Reactions
17 Replies
2K Views
Yote ni aina ya muziki wa kiafrika kutoka mitaani wanakoishi Waafrika wa hali ya kawaida. Amapiano nasikia inatokea mitaa kama Soweto, Katlehong, Vosloorus ama Mamelodi huko Afrika Kusini. Tena...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom