Mtukutu Mkuu
JF-Expert Member
- Jul 10, 2022
- 1,173
- 1,486
Ukizingumzia moja ya action kali kwa mwaka huu, basi hii ni moja wapo. Humo kuna wakali kama Brad pitt, Andrew Koji na mkongwe Hiroyuki Sanada [emoji91].
Kitu lipo chini ya Sony Picture [emoji91].
Director mzee mwenyewe David leitch.
Muuaji wa kukodiwa kwa jina la Ladybug (Bradd Pitt), mwamba anapewa kazi ndani ya Japan. Kazi atakoyofanya ndani ya train yenye kasi zaidi. Train hii husimama na baada ya dakika moja uendelea na safari, ni automati train, haina dereva.
Sasa Ladybug anapewa maelekezo na client kwamba ndani ya hiyo train anatakiwa achukue briefcase lenye kiasi kikubwa cha pesa, jamaa anaelekezwa mpaka lilipo anafanikiwa kuchukua.
Na msala na mtafutano ndiyo unapoanzia hapo, pia humo ndani kuna Tangerine na Lemon, hawa jamaa nao ni wauaji wa kukodi na wao wanataka hilo briefcase. humo kuna mafia anaitwa White Death, huyo ndiyo chanzo cha mtiti wote humo bila kumsahau The Elder (Hiroyuki Sanada).
Kuna mwanadada anaitwa Prince na yeye yupo ndani ya train kwaajili ya kumuuwa White Death kulipiza kisasi. The elder na yeye yupo kwa ajili ya kisasi kwa White Death.
Kituo cha mwisho yupo White Death anawasubiri akabidhiwe briefcase.
Jeje nini kitatokea [emoji91]?
Inshort, hii movie ni kali, action zipo, comedy zipo pia. Bradd Pitt kaupatia uhusika wake huyu jamaa asee[emoji16].
Mi naipa rate ya 8/10.