Ni Star gani maarufu zaidi kati ya hawa magwiji wawili kutoka kwenye Muziki na Mpira wa Miguu?

Boss Man

JF-Expert Member
Feb 10, 2022
458
991
Waungwana nimeuona huu mjadala huko kwa kina Chioma, nimeufuatilia kwa karibu lakini bado sijajua ni yupi yupo juu ya mwenzake.

Kati ya Ronaldo na Beyonce ni nani maarufu na mwenye ushawishi zaidi?

Kuna wanaosema Beyonce ndio maarufu zaidi kwa sababu alianza kuwa Global Superstar kabla hata ya Ronaldo hajawa mchezaji maarufu, na kuna wanaodai kwamba Football ni universal language, kwahiyo katika taifa lolote lile ukizungumzia mpira basi picha inayokujia ni ya Ronaldo

Je kwako wewe yupi kamzidi mwenzie na kwa sababu zipi?

Who do you think is more famous and influential, Ronaldo or Beyonce?
View attachment 2369068
 
Beyonce or Ronaldo?
Picsart_22-09-26_19-33-45-034.jpg
 
Eeeeh sawa kwahiyo ukishajua we inakusaidia? Tuache babu aisee watu tuko bize na kesi ya ulawiti askofu wa katoliki .
Mwenzako Niko kwenye field hapa, kazi zangu zinahusiana na Research, haya na wewe huko kwa Askofu unataka akulawiti na wewe ama?
 
Kwa sasz Ronaldo,.....beyonce wa sasa ni kama lil Wayne tu; wamepoa/wamechuja.

Ila Ronaldo, na ukosefu huu wa magoli sasa.......ataporea muda si mrefu!
 
Tusifikiri kichwa kichwa tukumbuke kuna nchi kama marekani, Canada, Australia, New Zealand, korea, Japan, hata China huko soccer sio part kubwa ya pop culture zaidi ya mziki kama uku kwetu. Nishawai kusema humu Michael Jackson na Yesu huenda wapo level moja ya umaarufu watu wakabeza na kucheka.
 
kwenye Instagram top 10 ya account zenye follower wengi, 8 zinatoka Marekani, mbilii zinatoka Ureno na Argentina, Ronaldo na Messi.

Ronaldo ndio Binadamu mwenye followers wengi zaidi duniani Instagram, Twitter ni wa 6, Facebook pia anaongoza yeye, zote app za North America.

kwenye Instagram wote Beyonce na Ronaldo walitangaza ku expect twins, ya Ronaldo ina likes milioni 32, Beyonce milioni 6.

beyonce hana umaarufu hata Robo ya Ronaldo mkuu, Hapo USA beyonce sio No 1.
 
Followers haimanishi kitu watu hufollow mtu kulingana na admiration ya lifestyle na maisha ya hao celebrities lakini haimaanishi they're popular kuliko watu wote duniani. Kuna kipindi Selena Gomez, Ariana Grande na Kardashians washawai kuongoza kwa followers insta lakini haimanishi kuwa walikua maarufu kuliko Obama au Donald Trump. Chifu Hangaya ana folowers laki sita na diamond ana followers 15 million lakini believe me kuna watu hapa hapa town hawamjui diamond ila kuna watu Bushashi na Wigelekelo ndani ndani uko wanamjua Samia😂.

Duniani hapa kuna mtu maarufu zaidi ya raisi wa marekani??? Hata ukienda Uzbekistan, Mongolia ndani ndani, North Korea vijijini wanawajua kina Obeezy na Trump😅😅 alafu angalia wana followers wangapi mitandaoni.
 
Mimi nilijibu hoja yako hizo nchi ulizotaja soccer sio part ya maisha thats why nikakupa platform ambazo zipo huko.

Kwa hoja hii ya sasa unafikiri vijijini na sehemu ambazo hazina Exposure nani anajulikana sana? Ronaldo ama Beyonce?

Mpira ni kitu ambacho kinachezwa vijijini kabisa, na jinsi Nchi inavyokuwa masikini ni likely wanacheza zaidi mpira sababu hauhitaji miundombinu ya bei ghali compare na michezo mingine. Leo hii kuna sehemu barabara, TV, hospitali hakuna ila utakuta watoto wanacheza mpira.

Ukitoa Yesu, Mtume Muhammad na Michael Jackson sidhani kama kuna mtu maarufu kushinda Ronaldo kwa sasa, na kwa watu walio hai duniani yeye ndio anaongoza. Even Raisi wa Marekani hana umaarufu wa Ronaldo.

Kwa utafiti wa Repucom’s Celebrity DBI tool Ronaldo anajulikana na 92% ya watu wote duniani.
 
Mkuu naomba tusaidie katika huo utafiti mtu wa pili baada ya Ronaldo walimtaja nani?
 
Inawezekana kabisa Hawa wanamjua Beyonce na vile vile wasijue kama Kuna mtu anaitwa Ronaldo katika ulimwengu wa Soka
IMG_20220927_165151.jpg
 
Eeeeh sawa kwahiyo ukishajua we inakusaidia? Tuache babu aisee watu tuko bize na kesi ya ulawiti askofu

Eeeeh sawa kwahiyo ukishajua we inakusaidia? Tuache babu aisee watu tuko bize na kesi ya ulawiti askofu wa katoliki .
Watz ndio maana tunaibiwa,siku utajikuta tu umeuzwa huku ukiendelea kufuatilia vidogo sana visivyo na maana yoyote kwenye jamii. Miguru anajipigia kwa sasa hakuna wa kuhoji,watu mnafuatilia ulawiti
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom