Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Habarini za saa hizi ndugu zangu!! Natumai afya zenu ziko salama kabisa Ngoja niende tu moja kwa moja kwenye mada husika. Hili swali linanipaga utata kidogo maana naonaga tu akina fulani...
0 Reactions
2 Replies
328 Views
Kama hujui hip hop au Kama umeujua muziki baada ya Diamond au kama umejua muziki wa hip hop baada ya kumsikia Nikki mbishi au Songa basi naomba uachane na huu uzi Maana itakuwa hujui nyimbo...
5 Reactions
41 Replies
8K Views
Familia zinazotumia NETFLIX majumbani kuweni makini kwani propaganda za ushoga zimeshamili ili kuandaa watu kisaikolojia ususani watoto wetu. Ushoga umeingizwa hadi kwenye cartoons za watoto...
0 Reactions
0 Replies
481 Views
Rapa huyo aliyebadili jina na kujiita 'Ye', ametangaza nia hiyo licha ya kufanya vibaya katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka wa 2020 aliopata Kura 60,000 kati ya Milioni 158.4 zilizopigwa. Katika video...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
imesisikitisha sana hii series maana niliingojea kwa hamu. Jamaa wamechukua story nzuri na kuiharibu kabisa. Uigizaji mbovu scenes nyingi za kitoto sana. pengine labda huko mbele itabadilika...
4 Reactions
18 Replies
2K Views
Amkeeniiiiii
0 Reactions
5 Replies
628 Views
Nawasalimu Great Thinkers, Kama kuna watu waliojaliwa vipaji na wamevitumia ni hawa jamaa wawili Diblo Dibala na Dally Kimoko, hawana utani wanapokamata mpini, mfano Diblo Dibala (Extra Boy)...
5 Reactions
376 Replies
96K Views
Nikiwa nasikiliza nyimbo hizi machozi hunitoka machoni, na kuona Dunia ni bure kabisa na ninahisi uwepo wa Mungu ndani yangu. 1. Matendo ya Mungu Hii beti hii; "Na kama Eliya upesi kabisa...
0 Reactions
1 Replies
589 Views
Nipe tano, salamu, gwara,.. wala si uhuni, peace and love kitu muhimu sana. Huu Ni wimbo wa Daz Baba akitoka Kama msanii aliejitegemea akiwashirikisha kundi lake Daz Nundaz, Ninavyokisakama...
1 Reactions
4 Replies
883 Views
HEKAHEKA - 1 Mtunzi: Japhet Nyang’oro Phone: 0762204166 “Jacob, napenda kuolewa ila haiwezekani” Alisema ilhali mikono yake ikiwa bado inaminya minya misuli ya mwanaume huyu huku pia machozi...
4 Reactions
55 Replies
14K Views
Dedication kwa Walamba Asali !!!! So much trouble in the world So much trouble in the world Bless my eyes this morning Jah sun is on the rise once again The way earthly thin's are goin' Anything...
3 Reactions
0 Replies
364 Views
Leo nimeona niwakumbushe wale wakongwe wenzangu wa enzi za miaka ya 1980 ambapo kulikuwa na Bendi iliyojulikana kama DAR INTERNATIONAL aka Super Bomboka ambayo iliongoza na Marijani Shaaban...
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Salaam wazee wa kambi. Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza, japo nilikua mdogo ila baadhi ya maneno katika nyimbo hizo nayakumbuka. 1. Muongo mbeya anauaa 2. Nyumba ya jirani yetu inateketea...
0 Reactions
1 Replies
662 Views
Kampuni mitindo ya Balenciaga wamejiondoa kwenye mtandao wa Twitter ikiwa ni wiki chache tangu mtandao huo ununuliwe na billionea wa masuala ya teknolojia Elon Musk. Balenciaga hawakuwa tayari...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
A diss track or diss song is a song primarily intended to disparage or insult another person or group. While musical parodies and attacks have always existed, the trend became increasingly common...
14 Reactions
128 Replies
55K Views
Kuna uzi ni sawa na Story ila visa na mikasa yake kulingana na vile ilivyo msomaji ndio anaweza tengeneza jina la kile kitakacho andikwa....... Story isiyo na Jina Ni miaka takribani 36...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
SIMULIZI; TAHARURI Imeandikwa na Halfani Sudy Whatsapp; 0652212391 Hii ni Sehemu ya Kwanza Kwa mara ya tatu sasa simu ya Catherine iliyokuwa imelala pweke juu ya kitanda chake ilikuwa inaita...
5 Reactions
29 Replies
8K Views
Kuna uzi ni sawa na Story ila visa na mikasa yake kulingana na vile ilivyo msomaji ndio anaweza tengeneza jina la kile kitakacho andikwa....... Story isiyo na Jina Ni miaka takribani 36...
1 Reactions
2 Replies
642 Views
Mwanaume mmoja alienda kukata miti kwa ajili ya mkaa, bahati mbaya panga likadondokea mtoni, akaanza kulia sana. Malaika akatokea na kumuuliza kwanini analia. Jamaa akajibu; “Panga langu...
4 Reactions
1 Replies
753 Views
Hivi kwanini kule boomplay kuna video song nyingine ukisearch hazipo??? Nimesearch video song za Ibraah takriban nyingi haikuniletea.
0 Reactions
4 Replies
869 Views
Back
Top Bottom