Wadau wa Dream League soccer tukutane hapa

Mondela

JF-Expert Member
Aug 20, 2021
2,570
3,763
Naimani ni wazima wa afya, kuna hili game linaitwa Dream League soccer. Ni game la online nani zuri sana ambapo mnaweza cheza kwa kupeana code, pia mnaweza tengeneza league ambayo mnaweza cheza kwa kupeana code.
Kwa ambao wako tayari comment 'yes' kisha nitakupa link ya whatsapp tujichangamshe .
 
Mbona nashindwa kuadd prof.dat ktk tablet yangu?

Nikienda storage,android,data nakuta empty
Msaada
 
Naimani ni wazima wa afya, kuna hili game linaitwa Dream League soccer. Ni game la online nani zuri sana ambapo mnaweza cheza kwa kupeana code, pia mnaweza tengeneza league ambayo mnaweza cheza kwa kupeana code.
Kwa ambao wako tayari comment 'yes' kisha nitakupa link ya whatsapp tujichangamshe .
Yes
 
Back
Top Bottom