Kaaa mkao wa kula, Avatar film 2 & 3 is coming..

Da'Vinci

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2016
Posts
36,443
Reaction score
110,233
Watu wanajua Lusaka hela kinoma!
Nimeisubiria kitambo sana hii muvi hatimae James Cameron kashafanya yake muvi iko tayari. Wameanza kuishoot toka Nov 27 2017
zote 2&3 kwa pamoja.

Avatar 2 itatoka 2020
Avatar 3 itatoka 2021

Tuombe uzima tu kufika huko tuzione

Bado nasubiria Muvi ya John Carter 3 tuone mini kitaendelea huko sayari ya MarsMars
Avatar 2
 
Kwa wale tutkao kaa umri mrefu duniani!
Kuna muvi inaitwa 100yrs
Imemalizwa kushutiwa 2015 Itazinduliwa mwaa 2115 yaani bad a ya miaka 100 kutoka Leo.
sijui inahus mini Ila inasemekana no muvi ambayo hakuna MTU aliyehai Leo ataiona. Maaajabu ya wazungu, walishaaanza kufanya Booking ya Ticket kwenda kuiangalia miaka hiyoo. Nikifika nikiiona nitakuja kuwahadithia huko makaburini

Cc.
Wick
 
Aisee
 
download.jpg
 
Wale wa kevin
Tujiandae kwa mapinduzi,

James ana kisasi na sisi baada ya kumtungua kule juu, bila ya kutegemea.
 
Kwa wale tutkao kaa umri mrefu duniani!
Kuna muvi inaitwa 100yrs
Imemalizwa kushutiwa 2015 Itazinduliwa mwaa 2115 yaani bad a ya miaka 100 kutoka Leo.
sijui inahus mini Ila inasemekana no muvi ambayo hakuna MTU aliyehai Leo ataiona. Maaajabu ya wazungu, walishaaanza kufanya Booking ya Ticket kwenda kuiangalia miaka hiyoo. Nikifika nikiiona nitakuja kuwahadithia huko makaburini

Cc.
Wick

Kwa wale tutkao kaa umri mrefu duniani!
Kuna muvi inaitwa 100yrs
Imemalizwa kushutiwa 2015 Itazinduliwa mwaa 2115 yaani bad a ya miaka 100 kutoka Leo.
sijui inahus mini Ila inasemekana no muvi ambayo hakuna MTU aliyehai Leo ataiona. Maaajabu ya wazungu, walishaaanza kufanya Booking ya Ticket kwenda kuiangalia miaka hiyoo. Nikifika nikiiona nitakuja kuwahadithia huko makaburini
Aisee itabidi wakienda kunizika wanizike na PC yangu,.

Ile Wakirelease chuma, nakizamia torrent.
 
Mkuu umepotelea wapi aisee au ndio washakuzika? Maana haya maisha nayo.

Btw 2months left, Avatar 3 itatoka Dec 20 2024
Avatar 4 itatoka December 2026
Avatar 5 itatoka December 2028

Mweeh zitatoka nikiwa mbabu🙆
Avatar 2 naweza idownload wapi
 
Back
Top Bottom