Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

GENGE EP1 JULAI 15, 1991 DIAMOND JUBILEE SAUTI KUBWA YA MUZIKI ilisikika kutoka katika ukumbi huo maarufu jijini Dar es salaam, katika kitongoji maarufu cha Upanga. Ni harusi ya kukata na...
6 Reactions
70 Replies
26K Views
Sikia hii! UTANGULIZI Huyu bibie ni classmate o level miaka hiyoo, nilianza kufahamiana naye kipind nipo 4m III darasa la science A. Tulifahamiana ghafla tu mara tukawa marafiki wakubwa, huyu...
8 Reactions
93 Replies
6K Views
Mzuka wanajamvi? Sina mengi ila nilitaka kushare haka kataarifa kafupi niliko nako kuhusu hii movie ya Action, Crime na Drama. Kuna yule mtoto katika hii filamu anatumia jina la Vee ambaye mama...
0 Reactions
5 Replies
981 Views
Tukio la kutengeneza huu wimbo ni moja ya matukio adhimu sana kupata kutokea. Kuanzia utunzi,uimbaji na uchakati wa vyombo husika. Unanikumbusha ule wimbo wa kama Japenga.....nao ulikuwa mmoja ya...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
habari wapemdwa mimi ni kjana wa miaka 20 napenda kufanya music production na kumake beats za aina tofauti za mziki bado najifunza ndo nina miezi 2 tu hapa hebu sikiliza kama naweza au niongeze...
5 Reactions
94 Replies
35K Views
jamani hii cartoon ya super man inayokuja kwa sasa inachochea ushoga kwenye cartoon,dc comics wameona cartoon yao inapendwa sana world wide kwa hiyo wameamua kwa sasa kutangaza ushoga live kupitia...
0 Reactions
74 Replies
6K Views
Kama unapenda series kali zisizo na mbwembwe za hovyo hovyo basi fanya kuitafuta hii series ya Ki-British inayoitwa 'Suspicion'. Kabla sijakupa premise yake nataka nikupe sifa zake mapema ili...
7 Reactions
11 Replies
1K Views
Hello wakuu, mara nyingi wasanii wanaohit ndio tunaamini wanajua, kumbe wengine wanabebwa na labels, marketing, algorithms, nk. Nk. Makampuni kama Universal, Sony, nk. Nk. Yanaweza kupush mimbo...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
The Woman King - Official Trailer Bow down to the most exceptional female warrior to ever live The Woman King is the remarkable story of the Agojie, the all-female unit of warriors who protected...
4 Reactions
30 Replies
3K Views
Leonard Mbotella Leonard "Mambo“ Mbotela ni mtangazaji mashuhuri wa redio nchini Kenya. Amejulikana kote nchini kutokana na huduma yake ya zaidi ya miaka 40 tangu 1964. Alikuwa mtangazaji wa...
2 Reactions
8 Replies
3K Views
Kuna wakati mwingine kuna baadhi ya game zipo kwasababu ya kukupotezea muda wako Nyingine zipo ili kukomaza akili yako juu ya mambo mbalimbali Ila hii game ya megapolis ni elimu tosha juu ya...
0 Reactions
4 Replies
716 Views
RIWAYA: MAUAJI YA KASISI MTUNZI: richard MWAMBE Simu: +255 766 974865 UTANGULIZI MAUAJI YA KASISI © Richard Richard Mwambe Ni kizaazaa katika jiji la Nairobi, Kasisi wa kanisa katoliki anauawa...
6 Reactions
70 Replies
23K Views
Basi bhana kunasiku nilikuwa nimetoka shule. Nimwezi wa kumi na tumemaliza kidato cha nne na nilikuwa na raha sana. Basi bhana kufika Moshi Mjini nilikuwa na dada alikuja na taxi tukatuwa Moshi...
1 Reactions
10 Replies
757 Views
Habari wapendwa, Leo nimekuja upande huu kwa ndugu zangu wafuatiliaji wa Bollywood au tasnia ya sinema india. Nimekuja na list ya mastaa bora wa filamu kwa muda wote pale india kaskazini, ambapo...
8 Reactions
95 Replies
9K Views
Habari zenu... Nimejikuta nimedondokea ktk instagram trends na kukuta kuna huyu mmasai wa tanzania anaitwa Kili Paul na mdogo wake wa kike Neema... Wamekua maarufu sana ktk mitandao ya kijamii...
8 Reactions
19 Replies
3K Views
Hizi ndio kwaya bora kabisa kuwahi kutokea nchini. Vigezo vilivyotumika: 1. Kuimba nyimbo zenye msingi katika neno la Mungu. 2. Ujuzi katika upigaji vyombo vya muziki na sauti. 3. Nyimbo...
6 Reactions
43 Replies
7K Views
Harmonize anakwama wapi? Hivii mnadhan kwanini CHEED na KILLY wamejitoa Konde Gang?
0 Reactions
2 Replies
349 Views
SUMAYA FATE OF LOVE SEHEMU YA PILI Lakini alijitahidi asioneshe hilo kwa Mama yake lakini damu ni nzito kuliko maji Zuleya aliitambua vema hali aliyonayo Sumaya nae alificha hilo mpaka...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Fortico security walimtambua kama Patrick Hill kwenye kazi zilizohitaji usafirishaji wa fedha, aliajiriwa yeye kama mmoja wa wasindikizaji hao. Kanuni ndogo tu, unafanyiwa mazoezi ya matumizi ya...
13 Reactions
20 Replies
3K Views
Back
Top Bottom