Kamati ya Miss Tanzania unaongea Radio 5

Unko T

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
200
266
Nimekutana na hawa jamaa wanaongea 91.3
Hivi Jokate ametemwa au? Msemaji wao anakimbia maswali.
Kuna mabinti ni wajumbe wa hii Miss Tanzania mpya, ila kama wamepigwa pini, kuna vitu vya muhimu hawaongei mfano uhuni makampuni, rushwa ya ngono na pesa, scandal ya Sitti Mtemvu.

Lino Agencies sidhani kama kuna chochote watabadilisha kulingana na jinsi wanavyokwenda. Wadhamini ni issue nyingine.

Interview nzur....sikiliza 91.3 Dar
 
Back
Top Bottom