babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,036
- 17,688
Kiukweli nimemkumbuka sana huyu PDG nguli pale Dar, katika watafuna bata huyu bwana alikua mwenyekiti wao toka kitambo saaaana kina Msofe na Katunzi walimkuta huyu kiongozi labda ndio anaishia ishia.
Nina kiu ya kujua huyu mshua ambae pia ni rafiki yangu wa zamani yuko wapi kwa sasa. Pia bar yetu pale migo vipi inaendeleaje na pilika maana ni kitambo sasa sijaiskia.
Changia mada bila matusi ili mods wasitunyanyase.